Recent content by barabaraya18

  1. B

    Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

    mimi BCSTIMES sikuiwahi nilikuwa nakamua DARHOTWIRE enzi zile MSN CHAT bado ilikuwa haijafungwa
  2. B

    Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

    Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii...
  3. B

    Urais 2015: Bernard Membe ahojiwa na Kamati ya Maadili CCM

    Tumtafute Kitine atupe nyeti....
  4. B

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Wazirinkivuli wa utalii wa Chadema ni nani?
  5. B

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Kuna nyimbo ya taarab inaitwa feki feki mnaijua?
  6. B

    Jumuiya Ya Watanzania Uingereza Yadaiwa Kuwa Kigenge Cha Maslahi Binafsi

    Jumuiya imekufa. Imebakinjumuiya ya CCM tuuu
  7. B

    Hivi Jack Pemba ni tapeli?

    Sasa yuko wapi huyu?
  8. B

    Haya sasa, madem na style mpya kabisa ya kupiga mizinga

    Dawa yake ndogo sana. Tafuta demu kwao kuna mpunga
  9. B

    RASHID OTHMAN tangu achaguliwe

    Mbona hakuna tathmini ya ufanisi wa kazi yake?
  10. B

    Jumuiya Ya Watanzania Uingereza Yadaiwa Kuwa Kigenge Cha Maslahi Binafsi

    JUMUIYA YA WATANZANIA UINGEREZA YADAIWA KUWA KIGENGE CHA MASLAHI BINAFSI Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania Uingereza, Abubakar Faraji amelaumiwa kwa kutumia jumuiya hiyo kwa maslahi yake binafsi. Hayo yameelezwa na viongozi wenzake ndani ya Jumuiya waliodai wamemvumilia vya kutosha lakini...
  11. B

    Sakata la Mahujaji: Utendaji ATCL na Yaliyojiri Hadi Leo Hii

    Kwa siku 12 Mahujaji wa Tanzania na baadhi ya wengine kutoka nchi jirani, walikwama kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, baada ya taratibu za kuwasafirisha hadi Saudia kukwama. Hatimaye, walisafiri lakini baada ya Serikali kuingilia kati. Sasa jitihada...
Back
Top Bottom