Location: Toa ngoma lugwadu,
Square metres 750, price mil 4/= & square metres 1000, mil 7/=
Km 17 from kigamboni ferry, km 8 from kongowe/toa ngoma - Mtengu (TSN Supermarket)
Info:
Email address. baptistamoses9@gmail.com
Hot line: +255 713/758 506472
P.o. box 336
Dar es salaam.
BAPTISTA MOSES...
Mamluki ni wengi mno, hao wapo kwa ajili ya watu fulani waendelee kupata kitu fulani huku wengine wakikosa kwa kufanya hila, usaliti kupitia ngozi ya kondoo waliyovaa kumbe ndani chui.
Hati zipo on processing zikitoka bei itapanda kiasi fulani kwasasa ni special offers.
Nimegomea madalali sababu wana sumbua wateja, for more information nimetoa mawasiliano yangu, kwani nafasi yangu ni jumamosi na jumapili, weekdays nakuwa ofisini lakini kwa weekend nakuwa site kwenye eneo...
Ndio kimepimwa kwa hati ni ni ya serikali ya mtaa/kijiji lakini kabla ukilipia nusu utasaini Sales agreement na mwanasheria wangu ruksa pia kuja na mwanasheria wako, picha 2 za passportsize.
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
tzbuddy
mbona nimetoa maelezo yanajitosheleza, istoshe eneo lilipo sio mbali sana na machimbo ya mchanga lakini pia kuna kisima kama utakuwa ni mjenzi wa haraka within a two months umeshamaliza ujenzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.