Kwa yule anaetaka kufungua Stationery, au kutumia kwa matumizi ya nyumbani km kusikiliza mziki, tamthilia, au watoto kuangalia cartoon , au shughulo yoyote inayohusiana na matumizi ya computer basi noon dm tuyajenge.
Haina kioendele chochote. Inspiga kazi muda wote saa 24 na ni portable...
Wadau kuna mchwa unanitesa, nyumba ni mpya hata bado finishing lakoni hawa mchwa wameweka makazi chumba kimoja hadi ukuta wa chumba hicho umepasuka na hakuna kichuguu.
Wakati najenga hakukua na dalili zozote za mchwa, baada ya kuezeka ndo ukaanza kuonesha dalili za kubumba vimchanga hatimae...
Wadau nina mtoto wa miaka 5, akiwa na miuaka 3 midmorning yake ilianza kutoka kutoka viganda. Hospitali walimuangalia na kumpa dawa ya kuongeza madina ( hawakusema madini gani). Hadi sasa midomo inakauka na kutoa viganda. Haumwi wala nini, isipokuwa hii midomo inanishangaza maana inakuwa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.