Recent content by baliyanga

  1. B

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Dudubaya inabidi saiv tuwe tunatembea na bakora kwa hawa watu
  2. B

    Bunge la Marekani laanza utaratibu wa kumhoji (impeachement) waziri wa ulinzi Pete Hegseth na kwa lengo la kumtoa

    Sema hawa wajinga wanaoreply then wanaweka empty space kubwa kama vip waondolew
  3. B

    Mje tuirudie pamoja

    Hii nilikuwa naisoma kwenye kisimu cha batan chenye uwezo wa kuingia internet bac ilikuw kama chai kila siku naisoma alf siichoki .no best over best
  4. B

    PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tunaomba John Heche naye akamatwe ahojiwe kwa kosa kama alilokutwa nalo Lissu, nimeanza kukusanya ushahidi

    Ushawahi kumuona abduli .za kuambiwa changanya na zako zila mtu anataka madaraka
  5. B

    Mwigulu ni new version ya magufuli

    Tangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
  6. B

    Tanzania kurusha Satelite yao mnamo mwaka 2027

    Star link ni agent wa marekani ona ukrai ne anavyopata tabu na starlink .waliambiwa wajenge eneo ambalo data zetu zitahifadhiwa hapo wakakataa ,wakasema serva zote za ulinzi zitabaki nchini wakagoma .tumpongeze waziri wa kipindi icho nape nnauye
  7. B

    UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

    Ukiw rais huwez jib kila kitu ,hutaonekn rais bali mtengenez maudhui
  8. B

    Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

    Nikisom reaction nying za chuki kwa yanga .Kwan yanga haiwaenz wachezaj malegend kwenye mikutano hawaendi hao wachezaji,alf simba je mfano ajibu alikuwa yanga ni nyota ila akakubali kwenda simba kwa sababu binafsi ila what next .amekuwa bado anasapotiwa na viongoz wa yanga kuliko simba hat kwa...
  9. B

    HIVI HAJI MANARA NI YANGA KWELI?

    Yule jamaa analeta fitna yaan anao uwezo wa kuzungumza na viongozi direct ila anatak public attention
  10. B

    Viwanja vinauzwa Vikawe - Karibu na Baobab Sekondari

    Nikiona shule ya baobao nakumbuk mbalii
  11. B

    Chanzo bei mbaya ya mafuta ni nini?

    Vita ukraine Vita mashariki ya kati Siasa za trump Mfumo mbovu wa kutegemea dola
Back
Top Bottom