wabongo maneno mengi na woga mwingi,eti upinzani haujakua nani kasema, sasa hela wanayotumia viongozi wetu ni mchezo,,magari mazuri, suti,,,,,wakati hata workshop zinazowahusu moja kwa moja wananchi hasa wakulima kama ile ya kilimo kwanza anaenda mkuu wa wilaya,,,,bora hata afisa kilimo wa...