Recent content by backbenchers

  1. backbenchers

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Ukisikia mtu katoka kunya kichakani bila kunawa halafu akaja kupost muharo huku JF ndio hii sasa.
  2. backbenchers

    Hotuba Ya Rais Samia Yautikisa Umoja Wa Ulaya. Wazungu Wamshangilia na Kuguswa na Hotuba Yake Iliyotoa Majawabu Kwa Maswali yaliyokuwa Yakiwatesa

    Huyu mama namchukua kupita maelezo, Kwakweli siwez msamehe alichotufanyia sisi watanganyika, ila ipo siku tu, Mungu atajibu vilio vyetu kwasababu ya huyu mama
  3. backbenchers

    Salamu za Boniface Jackob kwenye Mazishi ya Alute Mughwai Zatikisa, Msiba Wageuka Shangwe kwa muda

    Wanaume na wanawake wote wenye akili timamu, wanaojielewa, wanao jiheshimu, walio na uchungu na true patriots wa hii nchi tupo CHADEMA sasa huko FISIEMU bwana wee, yaani ukiingia tu akili zinaoza, halafu unakuwa m'busu matako tu kila kukicha. Ndomana kila mtu huko nikuropoka ropoka tu kila...
  4. backbenchers

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Bots wa FISIEMU kila Kona, nchi imejaaa wabusu matako, wao nikutetea matumbo Yao tu
  5. backbenchers

    Narudia tena: Strategist wa nchi wana akili kubwa sana. Ona jinsi walivyo utumia msiba wa kaka wa Lissu kama jukwaa la kisiasa in their favour

    Mwenda zake na huyu mama wote niwauwaji tu, hamna mwenye afadhali juu ya hili. Kumbuka mama baada yakuona utamu wa madaraka alivyobadilika, Yuko tayar kutoa roho za watu ili abaki madarakani. Walioimba wimbo wa madaraka yakulevya kwakweli hawakukosea. Anyway stak kuongea mengi, #backbenchers
  6. backbenchers

    Cleophas ajiua baada ya mke kumsumbua alipe mahari ama anaondoka, kisa Mch kumwambia ndoa batili

    Kuna wachungaji wengine wapuuzi sna na huyo mwanamke ni mpumbavu kupindukia, ss badala mchungaji awafungishe ndoa hapo oanisani yeye anataka kumfukuza muumini, very stupid mindset. Ila naye cleophos kazingua, ss mahar tu ndio ukaamua kujitoa roho, hapo ukute kajiua aafu mkewe aishiwe kuliwa na...
  7. backbenchers

    PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

    Sio uuee aafu ujiseme, yaan hapo ni uuwe aafu ujichunguze wewe kama ni muuwaji
  8. backbenchers

    Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Nimeisoma hii thread yako nikapata hisia Kali sana. Kwanza pole sana, watu wengi hawatakuelewa coz sisi waafrika hatuna Mila wala desturi zakusaidia wanaume kwenye swala la afya ya akili. Unachopitia wengi tumeshapita huko. Usharudi wangu kwako ni, kama wewe ni mkristo embu mtafute mchungaji...
  9. backbenchers

    KERO Masoko ya M'buyuni na Manyema ya Moshi Mjini hamna parking ya magari

    Ndugu yangu siku hizi bajaji sio usafiri Tena, zimekuwa nimojawapo ya kero kubwa sana kwenye miji yetu, na ukizingatia inasemekana nyingi zinamilikiwa na mapolisi basi hata kusimamishwa wakat zikivunja sheria ni nadra sana, naadreva wengi wa bajaji hawajui sheria za barabarani, basi kerooo...
  10. backbenchers

    KERO Masoko ya M'buyuni na Manyema ya Moshi Mjini hamna parking ya magari

    Katika pitapita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero moja inayofumbiwa macho na Manispaa ya Moshi Mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na Soko la Manyema, yana ufinyu au hayana kabisa maegesho ya wateja kuegesha magari yao ili wakapate huduma sokoni. Kero hizi...
  11. backbenchers

    PostGE2025 Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha

    Kama ushawah sikia ulemsemo, "unaniona Mimi ni kama ile chupi yako iliyotobika" Ndio hii sasa #hatujasahahu29Oct #hatusamehiwoOct #backbemchers #backbencherschronicles
  12. backbenchers

    Msigwa: Serikali inafanya tathmini ya Tamko la Jumuiya ya Madola kuhusu Lissu, tutawapa majibu

    Kichwa panzi, very stupid man, very stupid A bunch of very stupid leaders Extremely stupid leadership
  13. backbenchers

    Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

    Kwenye katiba inasema, maandamano ni haki ya mwananchi, ila ss hawa viongozi vichwa panzi hukutaka tu hata kuongelea swala la maandamano wanakasirika wanataka wakupoteze. Ss hapa picha linaanza hapo tu sehemu kesi ilipofunguliwa, mahakama ya mwanzo, yenyewe Haina uwezo wakusikiliza kesi, mtu...
Back
Top Bottom