Recent content by babu jeje

  1. B

    Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

    Kwa hyo hvyo vidonge ni kwa ajili ya ku boost testosterone
  2. B

    Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

    Ukiona hvyo bac mwenye makosa makubwa ni Mwanaume na alikuacha bila sbb ya msingi so lazma ajutie
  3. B

    Tatizo la kuchukiwa kazini

    Dah asee hyo condition hata mimi naipitia ila nnapo jua flan ananichukia na hakuna sbb yyte Sina ugomv nae hanidai namuepuka huyo ni adui ..maisha yangu ni Siri mambo yangu binfsi hasa maendeleo najua mwenyewe tu mimi c muongeaji hasa kuhusu suala la maendeleo yangu binafsi nikiwa kazini.Watu...
  4. B

    Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

    Suala la kuoa kwa hali ss nikamilisha ratiba
  5. B

    Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Huyo c mmekuatana ukubwani mpe likizo kwanza aende kwao
  6. B

    Wanandoa mlioachana mje hapa kutuambia mlianzaje na mlimalizaje

    Tusubiri walio pitia hzi changamoto
  7. B

    Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

    Sema akiamua kutoa sio lazma aliwe nje ni maamuzi yake
  8. B

    Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

    Ikoje kisheria endapo mume akachukua mikopo benk akajenga halafu mkatengana kwenye mgao nyumba inatakiwa kuuzwa wakati huo makato ya benk wanakata kwenye salary ss hapo Bora nyumba iuzwe. Tulipe den la bank au mmoja aumie na makato
Back
Top Bottom