Recent content by Babu bul

  1. B

    Katika nchi inachekesha kwenye uongozi kila mahali ni Tanzania

    kwani kunakiwaga na uchaguzi Huwa wanapelekwa na Mwenyekiti wa Chama na genge lake
  2. B

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Regemeleza Nshala: Kosa la Lissu linadhaminika, Tutachukua hatua ya kukata rufaa

    Natafakari Mzee Kabudi alipoeleza Ujerumani Adolf Hitla alipovimba kichwa na kuwa watu hovyo Alianza kama Tanzania tunapo elekeza Sasa Kwa kiongozi Chama kujimilikisha Nguvu kama anavyofanya huyu Mwenyekiti
  3. B

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    Hata Sasa hivi huyo RPC wa Mwanza ya October 29 atakuja kinyongwa ni muda tu
  4. B

    DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Kuna shida kubwa nimefanya utafiti magari mengi yapo barabarani na Namba za bandia hii inatia shaka sana Nini kunaendelea
  5. B

    Je Wajua Haramu Isipoharimishwa ni Halali? Batil Isipobatilishwa ni Halali?. Licha ya Ubatili Wote, Matokeo ni Halali, Ni Rais Halali!

    Ndiyo maana kuna Ubatili Kila Idara ya Serikali Mahosipitalini Mashuleni Mahakamani Magerezani Nenda kwenye huduma yeyote Ubatili Ubatili mtupu
  6. B

    Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Wamesahau Jamiiforum tulivyofungiwa kwailepicha? Wabongo wasahaulifusana
  7. B

    Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Wanamzunguka Maza kupata ngawira kwakumdanganya atenge fungu
  8. B

    Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

    Laana kum bibi kweli unamtesa uzeeni
  9. B

    Tetesi: Mchengerwa kuwa waziri mkuu

    Ukweli mtupu
Back
Top Bottom