Recent content by babalinda

  1. B

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    mbona waislam ndo wamefaulu zaidi ya wakristo kwa 98% fuatilia haya matokeo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/687391-orodha-ya-majina-403-ya-vinara-wa-madawa-ya-kulevya-sasa-hadharani.html#post14959852
  2. B

    Orodha ya Majina 403 ya Vinara wa Madawa ya kulevya sasa hadharani

    Eti necta inawaonea waislam kwenye mitihani yaani ukiwa mjinga howezi ona tatizo
  3. B

    Anguko la Jose Mourinho limfundishe kitu Magufuli

    Mleta mada ni mvivu acha magufuli afanye kazi....tokea Tanzania ipate uhuru hatujaona rais kama Magu Elimu na maarifa yanapatikana sehemu mbalimbali na kwa namna mbalimbali kama hauchoki kujifunza. Kabla ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi sijawahi kudhani kama Magufuli anafaa kwa...
  4. B

    Ziara za kushtukiza hazina tija, wengine wamezigeuza kama fashion

    [Wa uvivu wote hawataunga kasi hii ya Magufuli mie namuunga Magufuli na style ya kushtukiza ...wavivu wazembe wote ni adui wa familia na taifa. Yaani utaarifiwe ili ufiche madudu na tatitizo liendelee sasa unamkomoa nani kama si wewe na taifa zima ...hapa kazi tu Magufuli songa mbele tuko pamoja...
  5. B

    Vunja Makundi MwanaCCM Fanya kazi ya Chama

    Unamtaka nani? Acheni uvivu na uoga magufuli Jembe
  6. B

    Video: Angalieni unyama wa Green Guard kwa Mgombea Urais Dr. Kalokola!

    Hizi picha ndo za kutumia kwenye kampain kuwakumbusha wapiga kura uhuni wa ccm
  7. B

    Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Eti hii ndo dini ya Mungu....Haiingii akilini Kuanzia leo mie sio muislam tena... Yaani ni aibu na dhambi kubwa Kwa Mungu.
  8. B

    Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

    Sasa ukienda mzigoni ukakuta tayar wameisha ua watu utakua umefanya nini...hujasaidia kitu.. muda huu uliotumia kuandika kwenye jukwaa ungewataarifu Police ili kuepusha maafa kwani hujui nisaa ngapi, siku gani watafanya shambulizi the early the better GET UR PHONE CALL THE POLICE NOW TO SAVE...
  9. B

    JF Exclusive: Hotuba ya Nyerere 1995

    Nimeisikiliza hotuba ya mwl Jk kwa makini sana na kulinganisha hali na mwelekeo wa nchi yetu tanzania inakoelekea kwa sasa imenigusa sana kwani inamajibu ya matokeo ya kinachoendelea hasa kwenye swala la katiba, uongozi, na ubaguzi katika nyanja zote za ukabila, dini, na asili ya mtu Hii dhambi...
  10. B

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Tukiendekeza haya mambo ya udini katika siasa matokeo yake sio mazuri tujifunzeni toka Nigeria wanao athirika sio tu wakristo na mambo ndo yanaendelea kuharibika siku hadi siku waislam wakristo wote wanaish kwa hofu nihiz chembe za ushabik wa kidini ambao una agenda za siri once tu Agenda yao...
  11. B

    Mbio za urais CCM kimya

    Hivi sisi watanzania kwanini hatusomi alama za nyakati... Nyerere alisha sema Kikwete Lowasa hawafai kuwa Marais .Tuliziba masikio tukamchagua Kikwete na mtokeo yake tunayaoana, Sasa tunaanza tena debe kwa Lowasa. amani Siasa na ushabiki bila kuangalia falsafa za agombea ni hatar sana..Tanzania...
  12. B

    CAG Profesa Assad asema moto ni uleule

    Wote hua wanaaza hivi hivi..hata mkuu wa nch nae alianza na style hii hiii
  13. B

    Sheikh Ponda sasa njia panda

    [ Mungu hana. dini ponda anatetea dini. yake. nayako msimsingizie mungu. jamani.
Back
Top Bottom