Recent content by Baba Rhobi

  1. Baba Rhobi

    Leo tena nimekuja na MAFUNDI APP

    Nimejaribu kudownload hiyo app yako imeshindikana
  2. Baba Rhobi

    Fuatilia matumizi yako na ya nyumbani kwako kidijitali 2027

    App yenyewe ndo hiyo ina 5KB...!?
  3. Baba Rhobi

    Laptop mpya

    Vipi mkuu, AI inataka kuwa kama Crypto kipindi kile nn, GPU zikauzwa hadi laki, make saivi chochote chenye memory bei haishikiki.
  4. Baba Rhobi

    Google TV Launcher

    Wakati mwingine jifunze ku appreciate kile mtu anafanya.
  5. Baba Rhobi

    Kwanini kwasasa flagship za android smartphones imekuwa bei ya juu kuliko flagship za Iphone?

    Una masihara wewe, flagship za android bei hufa mapema sana kwenye Used market kuliko Iphone.
  6. Baba Rhobi

    Nijifunze nini kwenye AI ambacho kitanisaidia kuongeza kipato au kukuza career yangu?

    Jifunze namna AI itakusaidia kwenye freelancing yako
  7. Baba Rhobi

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Hiyo KodTek bei gani mkubwa
  8. Baba Rhobi

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Unachanganya babu, sasa kati ya SeaPiano na hiyo KodTek ipi inatoa punchy bass na ipi ni boomy.
  9. Baba Rhobi

    Miksi By Yass na mambo ya kijiamulia.

    Router ambayo sijaskia ina makando kando sana ni Voda tu, zingine ni balaa zito
  10. Baba Rhobi

    Msaada wa kusafirisha vifurushi kutoka China

    Nisaidie hapa hapa kama inawezekana mkuu
  11. Baba Rhobi

    SETTINGS MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA ROUTERS ZA 5G-CPE au 4G ZA UNLIMITED HUSUSANI WATUMIAJI WA AIRTEL NA MITANDAO MINGINE PIA..

    Shida ya voda jeuri, wao bado wanatoa 10mbps kwa 70K huku Airtel na Halotel wako kwenye 25-30mbps.
Back
Top Bottom