Recent content by Baba Parokoo

  1. B

    Tofauti ya posho wanayopokea madiwani wa Arusha mjini na maeneo mengine ya nchini

    Aliyeandika ajichunguze ametoa wapi kwanza ndio mlaumu ana udhibitisho wa hayo aliyoyaandika?
  2. B

    Nilimwambia Mkuu wa Mkoa aliyetenguliwa Felix Ntibenda kwamba anatafutwa yeye

    Ndio mkuu piga moyo konde kaza gidamu za viatu endeleza safari ya maendeleo na kuitafuta demokrasia pamoja tupo na ww
  3. B

    Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

    Waambie tu mkuu maana hakuna namna sasa wanakuja kimwendokasi zaidi
  4. B

    Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Hapa kazi tu tutatifuana vya kutosha wambane vizuri atasema yote
  5. B

    Mwanamume, ndugu yako yeyote anaweza kuwa suluhu ya mgogoro wa ndoa yako?

    Asante mkuu nafikiri hii inaweza kunisaidia asante sana
  6. B

    Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Ndio maana nahitaji kichukua hatua kwa sababu tyari keshatupa ngumi nn nikifanye mkuu
  7. B

    Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Sio huria mkuu ila ndio yaliyotokea
  8. B

    Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Asante nitapiga moyo konde japo kupenda si kazi ndogo muda nao ndio huu mh
  9. B

    Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Sijui kwanini watu wako hivi yaani anajulikana kabisa ni mtumishi anajishughulisha sana na kazi hiyo japo ana kazi tofauti za kujiingizia kipato yaani hajawa mtumishi kamili.Cha kushangaza ni kwamba ameanza tabia ya kukesha kazini kwa mchumba wangu kisingizio ananunua mahitaji nilivyomtilia...
  10. B

    Vijana wanawaza mapenzi

    Hakika hili zigo
  11. B

    Vijana wanawaza mapenzi

    Najua na wewe umo ndio sababu Bora kuwa mzee maana wangesema tungeenda kuzimu hilo shimo vijana mliomo hamuwezi kutoka hata mwisho uje
Back
Top Bottom