Recent content by baba-mwajuma

  1. B

    Baada ya kupiga hesabu, inaonekana haiwezekani kufikia uchumi wa trilioni moja mwaka 2050

    Kenya ni wapika data wazuri Tu. Wanahesabu Hadi Bodaboda kwenye GDP Yao kitu ambacho ni impossible kukipima.
  2. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Soma hapa https://stadiummanagement.co.za/about/ Uwanja huo na viwanja vingine south Africa vinaendeshwa privately, na hao wanaoendesha wanachukua risk 100%, hata kukiwa na hasara ni juu Yao, sio Serikali. Pia sijasema viwanja vyote Duniani vya Uma vina Running track Ila nimeclaim vingi...
  3. B

    Baada ya kupiga hesabu, inaonekana haiwezekani kufikia uchumi wa trilioni moja mwaka 2050

    Wakihesabu vizuri tunaweza fika hio figure, Ukumbuke GDP yetu haihesabu sector zote, ni sekta chache zinazojulikana, tukianza kuhesabu kama Kenya na Ethiopia GDP yetu inaweza fika 150 kama sio 200B USD. Baadhi ya vidokezo kuonesha Jinsi gani Tanzania ni noma kwa shadow Economy. 1. Kupitia...
  4. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    We nawe kinachoongelewa chote juu hujaelewa ama umeskip Tu na kuanza ubishi? Viwanja vya Epl ni private vya timu specific kwa ajili ya mpira. Hakuna anaebisha havina running track. Tunaongelea viwanja vya Serikali, ni sahihi kwa Serikali kujenga kiwanja cha mpira Tu na kuacha michezo...
  5. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Beijing National Stadium (uwanja wa Serikali mkubwa China) Stade de France uwanja mkubwa Ufaransa Stadio Olimpico Italia Spain na uingereza (wembley na estadio de la Catruja) vyao ni Hybrid, vina technology ya kuonesha hizo track ama kuweka Viti kutegemea na situation. So...
  6. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Hujakatazwa, Ila sio viwanja vya Uma, Azam ana Chamazi, kuna KMC kinondoni etc. viwanja vya Uma vinahudumia watu wote sio wanaocheza mpira Tu.
  7. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Unayo hio hela kujenga kisasa? Wembley kuficha Tu hio running track imegharimu pound million 120 zaidi ya Bilioni 350 kama sio 400, wembley imecost Trilioni 4 na hio ni 2003 huko kwa hela ya sasa inaweza karibia Trilioni 10. Same kwa Spurs nao ni humo humo Trilioni 4, tuna hela hio ya kujenga...
  8. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Wembley unayo running track sema ni wa kisasa Tu huzioni, wembley Hadi mbio za magari unatumika. Waki enable running tracking capacity inapungua Hadi watu 60,000.
  9. B

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Jengeni viwanja vyenu, Duniani kote most of time viwanja vya Serikali vinakua hivyo sababu Serikali haihudumii mpira Tu, viwanja binafsi vya timu ndio havina Mambo mengi.
  10. B

    Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia ajiuzulu baada ya miaka 33 kufuatia shutuma ya mahusiano nje ya ndoa

    Lakini kubaka watoto inaruhusiwa? Ushasikia hata MTU mmoja kahukumiwa watu ambao walikua na Epstein kwenye visiwa vyake?
  11. B

    Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia ajiuzulu baada ya miaka 33 kufuatia shutuma ya mahusiano nje ya ndoa

    Yeah hata Bill Clinton alijiuzulu, Trump na Elon musk pia hawana kashfa kama hio. Huyo katolewa hapo kwa uchina wake na waisrael sasa hivi wanapanga foleni kuteka Kampuni.
  12. B

    Bibi harusi agomea make up!

    Unamaanisha hajapakwa foundation? Maana Huyo ana makeup nyingi hapo.
  13. B

    SI KWELI Elon Musk amejibizana na Bill Gates na kumwambia atanunua Microsoft ili amfukuze?

    Bill gate hayupo Microsoft miaka zaidi ya 10 sasa, looks fake.
  14. B

    R.F. Kennedy Jr. says arab Muslims don’t produce science!

    Atallah amezaliwa Egypt na ameenda marekani baadae, Kisayansi Saudia, Egypt, Iran, Uturuki, Indonesia, Malaysia ni nchi ambazo zina rank juu sana na zina Gunduzi nyingi mno, ni mpumbavu pekee ataekataa Gunduzi zao. Hapo tu saudia kuna scientist kibao ambao wamechange Dunia. 1. Hayat Sindi...
  15. B

    R.F. Kennedy Jr. says arab Muslims don’t produce science!

    Nakupa jina Moja tu mwarabu anaitwa Mohammed Atallah. Baadhi ya Gunduzi zake 1. Amegundua Atallah box, ukienda Atm yoyote duniani, lile box la pesa ambalo unaingiza pin na kutoa hela yeye ndio mgunduzi, so Ukiingia Tu ATM na kutoa hela tayari unatumia tech ya mwarabu. 2. Pia ni mgunduzi...
Back
Top Bottom