Recent content by baba joo

  1. B

    Jinsi ya kumiliki nyumba

    Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba. Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari naombeni mtupe ushauri wa jinsi mlivyofanya(mbinu) hadi kufanikisha kumiliki nyumba zenu. NAOMBENI TUSHEE...
  2. B

    Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

    Hawamuogopi Manara, hizi ni chuki zako binafsi kwa Manara na Simba.
  3. B

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    unamawazo kama yangu kama si mseto ukawa lazma wachukue dola,sina utani cdm inakata kuti walilokalia,binafs kura yangu ukawa tu!
  4. B

    Kwanini BBC wamlete Famau huku kuripoti michakato ya CCM

    kukalili ni uwezo wa kuweka vitu kichwani na baadae kuvisema au kuviandika vile vile bila kuvielewa!.
  5. B

    Edward Lowassa special thread

    tusipopata ndan ya ccm tutampata nje,ili mlad awe bora
Back
Top Bottom