Recent content by Baba David

  1. B

    MASWALI YANGU KWA MSAJILI WA BARAZA LA FAMASI NDUGU BONIPHACE MAGIGE

    Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi. #1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba...
  2. B

    MASWALI YANGU KWA MSAJILI WA BARAZA LA FAMASI NDG. BONIPHACE MAGIGE

    Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi. 1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba ni...
  3. B

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Tatizo la msingi hapa ni usingo maza. Angekuwa na mwanaume wa kumuongoza asingefanya jambo la kitoto kama hilo la kumuamini mtu kiajabuajabu. Atafute mume kwanza.
  4. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    Na still umenijibu [emoji23]
  5. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    Nawewe upo miongoni mwa wapuuzi?
  6. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    Of course unaweza kusema unachodhani ni sahihi.
  7. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    Nakuzidi kuanzia elimu, uwezo wa kufikiri, pesa, n.k. The fact kwamba unapata vocha za kuokoteza haimaanishi you’re anybody.
  8. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    UPDATES: Kwanza asanteni wote mliotoa mawazo yenu ya kujenga na kusaidia. Wale wapuuzi of course endeleeni kuwa wapuuzi. Baada ya negotiations za pande mbili na kwa ushauri wa wakali niliyemtafuta physically, nimeamua kutoipursue hii issue.
  9. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    Otherwise kama ilikuwa yakwako
  10. B

    Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

    Asante sana mkuu. Naomba ukitulia ukaona lingine linaloweza kuwa na msaada usisite kuniambia hapa ama PM
Back
Top Bottom