Siku zote TB Joshua amekuwa akitabiri na mambo yanatokea. Tukio ambalo nalikumbuka vizuri ni lile la kifo cha Michael Jackson na matukio mengine mengi. For us who believe in him, let us keep on praying.
Marry Hunbig Habari ya jamaa wanaotapeli kwa kutumia jina la Yesu ni ya kweli. Tayari watu kadhaa wamesharipoti polisi jamaa wanatafutwa. Ingawa taarifa zisizo na uhakika zinasema jamaa hawa wanafahamiana na baadhi ya polisi kituo cha Mbagala, hivyo wanapata jeuri ya kufanya wanachokitaka.;
Kuna matapeli ambao wanajifanya wahubiri wa Neno la Mungu wapo jijini Dar es Salaam. Jamaa hao wanne wanaoishi Mbagala Rangi 3, wanaongozwa na Anton Abel Magoya ambaye anafahamika kuwa ni muhubiri katika makanisa kadhaa ya Dsm, pia alisoma chuo cha IFM. Jamaa wakikutana na wewe wanajifanya...
Hoja katika makala hiyo siyo kwamba madereva hawana haki ya kufanya ngono, suala ni kwamba wanatumia usafiri huo kuwashawishi wanafunzi na wengine waliotajwa humo. lakini pia, sio jamaa wa bodaboda tu wanaofanya hivyo hata baadhi ya madereva tax.
Mazingira ya Siasa za Kenya ni tofauti kidogo na TZ. Huku siasa zinaendeleshwa kwa msingi wa makundi. Kuna ngome za watu fulani ambazo ni imara, humfuata mtu huyu katika chama chochote atakachokwenda. Kenya imegawanywa kwa kanda, ambazo zote zina nguvu. Angalia bonde la Ufa, Pwani,Kaskazini...
Ni vizuri kupambana na wahamiaji haramu, lakini namna hukumu ilivyotolewa inaacha maswali mengi kuliko majibu.
Kwanza: ni jukumu la nani kukagua uhalali wa urai wa mtu? ni wa kondakta, dereva (katika hoja hii) au uhamiaji?
Pili: hakimu ametumia vifungu gani kutaifisha hilo basi? mwaka jana pekee...
Mungu ana njia nyingi za kutenda miujiza, tusiamini kuwa njia pekee ya kuombewa na kuponywa ni kuwekewa mikono tu. Wenzangu hapo juu wametoa mifano mingi ya namna Mungu alivyotenda miujiza mingi kwa namna tofauti. Kumbuka Naaman alivyoambiwa na Elisha akaoge mto yordan na kuponywa ukoma, fimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.