Recent content by Azizi J Hamad

  1. A

    Maono tarajiwa kutokana na uwekezaji wa Indonesia katika visiwa vya Zanzibar

    Tatizo lako ulisoma kwa kukariri na ukakaririshwa na namna ya kuishi ndio maana unateseka, kuelewa uzi
  2. A

    Maono tarajiwa kutokana na uwekezaji wa Indonesia katika visiwa vya Zanzibar

    Utashi wako wa kufikiri na kuchambua mambo upo kwenye mfuko wako wa nyuma wa suruali yako
  3. A

    Maono tarajiwa kutokana na uwekezaji wa Indonesia katika visiwa vya Zanzibar

    Endelea kusoma kwa kukariri siku yako itafika ya kuumbuka
  4. A

    Maono tarajiwa kutokana na uwekezaji wa Indonesia katika visiwa vya Zanzibar

    Maono tarajiwa kutokana na uwekezaji wa Indonesia katika visiwa vya Zanzibar. Tunaweza kusema kuwa neema yaenda kushuka katika Zanzibar, kwa maana Indonesia ina visiwa takriban elfu 17, vyenye mafanikio jadidi katika Nyanja zote za kimaendeleo, hivyo tunapaswa kuwa na jicho la ndege mwewe katika...
  5. A

    Papo Kwa Papo

    Inatakiwa ukapimwe mkojo wewe, halmashauri yako ya kichwa haipo sawa
  6. A

    Papo Kwa Papo

    Sasa kama wewe ni mwizi una uhalali gani wa kumshambulia mwizi mwenzako, nenda katubu dhambi zako kibaka mmoja wewe.
  7. A

    Papo Kwa Papo

    Nchi yako wewe na nani?
  8. A

    Papo Kwa Papo

    Unaangamia kwa kukosa maarifa
  9. A

    Papo Kwa Papo

    Unamjuaje mwizi kama wewe sio mwizi?
  10. A

    Papo Kwa Papo

    Na wewe ulie reply umepoteza nini?
  11. A

    Papo Kwa Papo

    Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa, Chama kinatenga siku maalum kila wiki ili kusikiliza kero za wananchi na kuzifikisha serikalini kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi. Kila siku ya Jumamosi...
  12. A

    Papo kwa papo

    Jimbo la nyumbani kwenu
  13. A

    Nadiriki kusema kwamba CCM ni chama imara na chenye uwezo wa kusikiliza kero za watu wake

    Hujajibu swali bado, naona unaruka ruka tu kama maharage yanataka kuiva
  14. A

    Papo kwa papo

    Unataka kusema nini kwa mfano?
Back
Top Bottom