Recent content by Auz

  1. Auz

    The threat that calls itself security, From Custodians of the Nation to Its Most Cataclysmic Pestilence: The Metamorphosis of National Security

    Basi angalau wangeonesha kushangazwa, kama kweli hawahusiki. Hawa wanaokusanywa na kusambazwa kila kukiwa na fununu za maandamano, wanatolewa wapi?
  2. Auz

    The threat that calls itself security, From Custodians of the Nation to Its Most Cataclysmic Pestilence: The Metamorphosis of National Security

    National security as long as Tanzania is concerned, is a hoax. It's rather, ccm leaders security first, who are busy fooling the rest of the most members, that, they should fight and protect the party in order to stay in power as a second priority to those leaders, but not whatsoever for the...
  3. Auz

    Kama umri umeenda jiulize hili

    Kwa hiyo ikimtokea mwanamke hivyo, afanye nini?
  4. Auz

    Lissu kahukumiwa kufungwa. Mmepata faida gani kisiasa zaidi ya kuchukiwa zaidi na wananchi?

    Unajua kwa nini hakunyongwa? Walioua wanajulikana, na sio yeye!
  5. Auz

    Polisi Tanga: Askari Mwita alifariki kwa Kujinyonga, Uchunguzi unaendelea

    Hakuna pole kwa familia wala majonzi!
  6. Auz

    Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Apumzike kwa Amani!
  7. Auz

    Kumbe Marehemu ameacha wajane wawili!

    Huyo mke mwenza kaipata au anaipata fresh kutoka kwa mwenye roho mbaya kama huyu.
  8. Auz

    Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Kwa vyakula, tukipunguza au kuacha kuiga uzungu, na kuendeleza taratibu za kiafrika za ukulima, uuaji na tunavyopika vyakula vyetu, inaweza kutuepusha na madawa wanayoweka katika mbegu za vyakula, nyama n.k. tutaonekana tuko nyuma, pengine hatutengezi pesa, kwa kutoharakisha na kukuza...
  9. Auz

    Wanasheria na Wazalendo, Mauaji ya Halaiki ya Oct 29 yawekwe kwenye Taarifa Rasmi kwa matumizi ya baadae

    Ni muhimu. Hivi wanasheria, wanashindwa kuijenga hoja na kumburuza mkuu wa jeshi la polisi na jeshi la wananchi mahakamani kwa yaliyotokea? Hoja ianze kwa wao kushindwa kuzuia ghasia dhidi ya, kulinda raia na mali zao. Kuhakikisha kwa kushindwa kule, basi nao wawajibishwe, kwa kuachia madaraka...
  10. Auz

    Huenda hakuna mwisho wa dunia wala watu kuchomwa moto

    Mtazano wangu ni kuwa, mwisho wa dunia ni pale mtu binafsi anapokata roho. Hivyo si jambo la umma. Jinsi utakavyokata roho, ndio inakuwa ama adhabu au raha yako nikimaanisha, ikitokea roho inakutoka kwa mahangaiko, mateso, ndio hayo mateso yanayoongelewa kama moto. Ukikata roho kwa utulivu...
  11. Auz

    Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

    Lissu si kiongozi wa nchi! Huyo kiongozi wa nchi mbona anafanya mauaji? Je muuaji ndie anayekufaa? Kama ndio hivyo, muuaji ndie Yuko madarakani na sio Lissu. Sioni hoja yako wala mashiko, kwani unachoongelea hakipo, Lissu si kiongozi wa nchi!
  12. Auz

    AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

    Utawala wa tz kwa muda mrefu, umekuwa ni wa mabavu. Tukiacha unafiki na kuzingatia ukweli na uhalisia wa mambo ya nchi hasa chaguzi, ni dhahiri, hakuna uhalisia wa hizo asilimia 97 za ushindi, na kurudi nyuma, tunajua CUF imekuwa ikishinda, Lowasa alishinda, Lissu alishinda, ila tume ya...
  13. Auz

    Mali: Mwandishi na Influencer wahukumiwa jela miaka 7 kwa kukosoa serikali

    Huyu mtu anaelekea ni mkweli, na anaongelea uhalisia wa mambo. Watawala hawapendi ukweli unaoonesha madhaifu yao.
  14. Auz

    Lissu kuachiwa Agosti 21?

    Uchuro huu!
  15. Auz

    Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Hongera kwa kujisimamia na kujifunza kadiri maisha yanavyokwenda. Inaelekea utakuwa mwenye mafanikio kwani unajua udhaifu wako, unaurekebisha. Mzee mjulie hali, msaidie inapobidi, umeshaanza maisha yako, kurudi nyumbani ni kusalimu tu.
Back
Top Bottom