Recent content by August

  1. A

    Heche: Tuko tayari kwa mazungumzo yenye nia njema na uwazi iwapo Lissu ataachiwa huru

    Kwanza uchafuzi haukuwepo 29-10-2025.Kwa hiyo mnaenda kuridhiana na nani
  2. A

    Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?

    wajibu, na Kala EAC, SADC,AU, Common Wealth, EU na UN wakitaka hayo maridhiano yaratibiwe na watu huru sio waliochochea na kuwa na maslaha ya huu mchakato
  3. A

    Je, Kutokupatikana Kwa Katiba Mpya ni Kutokana Na Katiba Ya Chenge ambayo Nayo Ilikwama?

    Taifa linapita wakati mgumu, Kwa kutokuwepo Kwa Katiba inayofaa kuliongoza Taifa. Hata kama Kiongozi aliyepo atakuwa na mapungufu bunafsi au yako mfumo. na matokeo hayo ni Kutokana na Baadhi yetu kukubali kutumika, Kwa fikra ya kuwa ataendelea, kufaidika na mfumo uliopo na sio kutokana na...
  4. A

    Jaji Masaju: Tusiruhusu Taifa letu kutawaliwa tena na Wakoloni

    Kwa uonevu Kwa TAL, Pole pole,Nchimbi nk , usitegeme kituntofauti na ulicho sema au ulicho andika
  5. A

    Tetesi: Inadaiwa kuwa IGP Camillius Wambura ameitwa mahakama ya ICC

    itakuwa kakubali kuwa Bangusilo
  6. A

    Haya yote ya nini Kwenye Nchi ya Tanzania?

    Damu inasaidia ukipata Ajali na Una hitaji kuwekewa, sasa Ile process ya kujua upo kundi lipi inaweza kuchukua muda
  7. A

    Shillingi 464,100,000,000 inatosha kuwalipa fidia wakazi wote wa Sinza?

    Ukishaweka hizo Nyumba , bei ya kupangisha ya Vyumba viwili itakuwaje, na ya Vyumba vitatu
  8. A

    Soon wanasuguana hapo juu

    Kuna anaye maliza mihula mwili Visiwa vya Hale
  9. A

    Wakati mwingine, ukimya ni hekima: tafuta pesa, ishi maisha yako!

    Sasa kama ni hivyo ina maanisha hakufuata falsafa anayo hubiri
  10. A

    Serikali ya CCM, imewakumbatia Wachina. Huyu Operator, Mzazi wake amefariki mwezi ulopita kwa kukoswa Pesa ya Matibabu!

    Wachina Tabia na hulka zao kama wahindi, dhuluma kwa "manyani" Kwani ndio wanavyotuona. Nyerere na Sera zake aliwarekebisha na tukaishu nai Kwa heshima , lakini baada yake hawa WA sasa wasiojua jinsi ya kuthibiti rasilimali na utu wetu, ndio hivyo. Wanafungukia Mbwa , hawajui huyo Mbwa anakuja...
  11. A

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Kwa hiyo mnatumia mbinu ya kumkandamiza Mtu ili waje kwenye maridhiano
  12. A

    Wakili Paul Kisabo: Tumeanza mchakato wa Rufaa hukumu ya Tundu Lissu

    Naona process ni mrefu, kiasi kwamba hauwezi kuwahi Mazishi
  13. A

    Kipanya: Mtakuja kulia! Wachina hawaji kwa bahati mbaya, ni mpango wa Makusudi

    Hili ni Jambo la kweli, wewe fikiria ntu ananunua Kiwanja 4bn Hadi 7bn , Hilo jengo atakalowekeza hapo , mweusi Gani ataweza ku linunuavau kumlipa fidia. , tuwajinga kuliko.Nyerere alisema tatizo lenu Yale mazuri yake mnayatupa na kuchukua yenu ya kiujinga
Back
Top Bottom