Kuna hii changamoto huwakuta watu wengi sana, kwamba inapotokea kipato kinaongezeka kidogo tu ghafla na matumizi nayo yanaongezeka.
Mtu alikuwa anatumia 10,000/= kwa siku kwa ajili ya chakula, lakini kiwango chake cha pesa kikipanda hatulii 10,000/= tena kwa siku.
Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving na kutumia vyema kila fedha unayoipata?.
Uzoefu wako huenda ukamsaidia mtu mmoja mahali katika kufanya saving na matumizi sahihi ya fedha zake.
I stand to be corrected.
Hakuna akili ndogo wala kubwa, kwani akili ni uwezo wa asili ambao kila mtu anao kwenye eneo husika.
Kwa mujibu wa Neurological Institute of Los Angeles, 2015 "Akili ni uwezo wa asili uliomo kwenye ubongo unaomwezesha binadamu au kiumbe kufikiri, kuelewa, kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.