ndg: shine,
labda niseme Hapana. si, kimachinga zaidi, bali nikiungwana,zaidi. Nitakua nimemtendea mteja dhambi kama nitamchaji mteja drisha la ft kwa tano na Amechagua kioo clere. Nikamchaji sawana Aliechagua kioo aina ya bronze oneway,
Hizo ni, Aina mbili tofauti za vioo. Na zina tofauti...