Jina lenyewe sio lake asije akawa rais WA kwanza afrika anayetumia jina LA MTU mwingine kwanza mwenyewe amaweza akaibuka kulidai wakati anaapishwa,mfano Mimi lameck mwigulu nchemba mwenye jina lake anaibuka,itakuwaje? Yaani wagombea WA ccm ni majanga matupu
Nani afaaye kwako au mpaka tuwasikie wote...na je maneno tu yatosha kutenda? Nchi hii ina shida nyingi sana ifike mahali wakati tunapinga kitu tutoe na solution yake la sivyo itakua ni maneno matupu tu ambayo hayatusaidii. Ifike mahali tusaidiane kusema fulani anafaa kwasababu 1,2,3 n.k. ndio...
Kwa watu msiojua sheria:
kisheria maana ya dhamana ni* kwamba mtu asije kupotea* wakati kesi inaendelea, ndio maana unapomdhamini mtu anayefahamika na mwenye shughuli zake inakuwa rahisi kwa maana kwamba*** mtu huyo hatarajiwi kutoroka. Hivi Mbowe anaweza kutoroka kesi ya kipuuzi kama ya...
Wanajamvi nakumbuka kuna kipindi makamba aliwahi kumlaani nape na kusema hata samehewa mbinguni na ahera, duh kweli siasa ni mchezo mtamu sanaaaaaaaa, tetesi zinasema makamba jana alitaka kuondoka arudi tanga baada ya kujizuru watu wakamzuia
wabongo tuna tatizo moja, tunadhani Simba alipofikia na kupapongzwa na kuandika vichwa vya habari eti "Simba yafa Kiume" huu ni upuuzi ambao tunao miaka nenda rudi, juzijuzi kuna mdau mmoja wa Simba (sijui kama ni mdau kweli wa wa kibiashara) anaitwa Azim Dewji alikua akilaani simba kukataliwa...
Unapozungumzia kuziunganisha uganda na kenya na kutaka kulinganisha na baraza letu hiyo si busara, ukubwa wa nchi haumaanishi ndo baraza liwe kubwa, nigeria ina mawaziri wangapi? Nchi inatakiwa kuendeshwa kwa vipaumbele huwezi weka tu wizara hazina kichwa wala miguu eti nchi kubwa, sasa uganda...
NIGERIA ina wizara ngapi mkuu? Ukubwa ubaujua wewe? Kwahiyo tuwe na waziri wa kila eneo ndo ufanisi utakuja ama, ukianza kufananisha mawaziri wa ngapi uganda plus kenya utakua unakosea big time, so usifanye ukubwa wa nchi ndo ukubwa wa baraza, nchi hii haijaongezeka ukubwa miaka ya mkapa na jkN...
I think here tunatakiwa angalia maslahi ya TZ firstN unapotupa mifano ya Uganda tujiulize why Uganda na kuwa kwao na baraza kubwa sisi inatuhusu vipi? Does it have impact to our TZ economyN if not why make comparison in the first place? And why not making comparison with Kenya,
or each of...
Huyu mama ha qualify kutoa maoni kwasababu tayari ni mbuinge wa chama cha mafisadi, shule zimemshinda baada ya kushindwa kuendelea na kamchezo ka kuiba mitihani sasa kageukia siasa, kanisa analoendesha lina mashuga mamy ambao wanapenda vijana wadogowadogo haliko safi kama watu...
Hutu katibu mkuu sidhani kama ana muda wa kufatilia mambo ya dunia ya tatu wakati nchi yake na majirani wanapigiana ubabe hawezi kuwa na update za bongo, so tunatumia cheo cha migiro kujitengenezea habari za kujiridhisha. They will never understand Africa let alone TZ
Wadau kwa kuwa watu wamemua kusafishana hebu tupitie hii web na kusoma report then tutajua TAKUKURU wametoa wapi utashi wa kumsafisha huyu bwana Chenge
SFO Report on the Radar Saga
enjoy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.