Yani anajiharibia ile mbaya,ye badala atatue matatizo yanayotukabili sisi kama vile barabara,umeme,majalala huko mitaani ye yupo tu bize na mamiss,ok bwana ndo viongozi wetu hao.
yani weee ndo sufuria kabisaaaa! kwa mfano mrema eliatonga awe m/kiti wa kamati ya hesabu za serikali unategemea nini? na sisiemu wanataka hao ndo wakamate hvo vyeo ili waendelee kula nchi na kuna siri kubwa iko huko so wanaofia pipoozi pawa kuingia huko kwani watafichua uozo wao!!! unaweza...
nakubaliana na wano oji kwa nini kanuni hyo haikubadilishwa though wanasema haijabadiliswha ila ni tafisiri ya kambi rasmi haikuwahi kuelezewa. je kwa nini hawakuielezea kipindi chote cha miaka iliyopita?
sisiemu kama kawaida imeendela na ubabe wake ambao utaatarisha amani nchi hii maana hata...
Hya basi hayo yote sawa tuambie sasa huyo managing director wa dowans ni nani? Maana hakuna compuni isiyokuwa na mwenyewe,isiyokuwa na manager mwajiri isiyokuwa na accountant!! hii dowans haina hao wote? ama ni ya shetani
Kwanza ni upuuzi anaandika huyu bwana! halina hata uhakika na vitu linaandika bc tu akishalewa yanayokuja anaangukia keyboard! HAI waandamane kwa ajili gani? madiwani wa CHADEMA HAI walidanganywa kuwa kuna kikao sehemu flani wakaenda alafu wa ccm wakafanya uchaguzi?? maandamano ya arusha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.