Recent content by Apocrita

  1. Apocrita

    Unapoteza vyote...

    Uaminifu kwa watu umepotea kabisa.
  2. Apocrita

    Serikali yatangaza Kesho kuwa siku ya mapumziko kwa ajli ya maandalizi ya Uchaguzi

    Hahahaaa!! ila dhamira yako watumishi wa serikali waifurahie hiyo kesho # mwanzoni mwa andiko#
  3. Apocrita

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:- 1. Nliota rafiki wa mdogo wangu wa kiume ananitaka kimapenzi nikamkatalia, kaanza kunikimbiza ndotoni akiwa kashika kisu ili anichome, ile anataka kunichoma tu nkashtuka usingizini kwa kupiga yowe hapohapo...
  4. Apocrita

    Nataka kwenda Msanga

    Yeah!!
  5. Apocrita

    Nataka kwenda Msanga

    Jioni tukutane kwa Songo
  6. Apocrita

    Mapenzi ya chuo: Mabinti ndio hutajirika na vijana kuwa maskini

    Wew illovo usiwaokote watu humu ndan,, badilika kwanza wew,, sina shaka nami ntakemewaaaaaaa,,, hahahaa
  7. Apocrita

    Mapenzi ya chuo: Mabinti ndio hutajirika na vijana kuwa maskini

    Si afadhar hyo mweny pepo la kutoa pesa kuliko yule anayeoa mke, miaka miwili mke haijui saloon iko wap,, tangu atoke nyumban kwao hajawah ona nguo mpya wala viatu zaid ya yeboyebo za kununuliwa mara 1 kwa mwaka,,, halafu mnatoroshewa wake zenu mnakuja kuhangaika jf kutafta wanawake walookoka...
  8. Apocrita

    Mapenzi ya chuo: Mabinti ndio hutajirika na vijana kuwa maskini

    Mmhhhh!! Napata kigugumizi.. Mmekuwa mkijitetea roho za mapepo,, ubahili tu ndo wawasumbueni baadhi yenu
  9. Apocrita

    Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Mbwila muhiri malato
  10. Apocrita

    Mimi ni Dereva wa Bodaboda, nahitaji mke mwenye Degree angalau mbili

    Mie nna degree 3,, vp cjaqualify?? Hahahahaja
  11. Apocrita

    Hidden cancer cures

    Deceotio hongera kwa kaz nzurii,, mwenye kufuata afuate asiyetaka aache,,,, cku zote watanzania hatuaminiani,, ila akija mtu mweupe leo hii akaxema ki2 flan ni tiba ya ugonjwa flan,, wote macho yetu yanakuwa paleeee,,, v2 vngne ni logic tu havhitaj ubishi,,, hivi ukila matunda + vegetables kuna...
Back
Top Bottom