Sasa hapo si Tz ina advantage kubwa kimaendeleo sababu ina manpower kubwa?
Sawa na kusema unashindanisha team mbili lakini Moja ina wachezaji pungufu. Ovyaz ile yenye wachezaji wengi ndio itapewa nafasi kubwa ya ushindi.
Nafanyaga biashara hii si kwa nia ya kupata faida, bali Kua na constant flow ya pesa nyumbani.
Nina matumizi mabaya ya mshahara. Unaweza isha hata nusu ya mwezi haujafika.
Hivyo ili nisilaze familia na njaa huwa nanunua pikipiki angalau mbili nawapa mkataba vijana.
Ndio wananiletea pesa ya kula...
Kijiji cha Nangano wakulima tunapata tabu, tunaishi maisha ya roho mkononi kuhusu ndovu, naimani ni wakati muafaka ndovu hao wavunwe ili kupunguza idadi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.