Recent content by Anita Makirita

  1. A

    Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

    Most irritating/annoying member of JF! Ukinishambulia utajiju. .sitafuti validation kama wewe
  2. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Endelea 'kuwabamiza' wanawake online, unapata relief labda....bye I'm out
  3. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    ...wewe unahisigi kuwa attacked siku zote ndio maana uko kny defensive mode siku zote...niku attack wewe ili iweje???umeshindwa kujibu WANAWAKE WA WAPI/NCHI gani unafanya comparison na wanawake wa kibongo....hii ndilo swali la msingi and so far unrlemba unalemba kuonyesha machuki yako dhidi ya...
  4. A

    Mke wangu, Nimekuchoka!

    Hii kali sana mkuu lol
  5. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Si umesema wanawake werevu wameona umuhimu wa bandiko lako..umejuaj hili kama hawajajibu/ hawajaandika lolote in your topic?! Huoni kama kutojibiwa ni evidence umepuuzwa?! Unajikanyaga bure; kama wazazi/mababu wangekuwa na ndoa stable huoni wangeleta offsprings/generations ambazo ziko nazo...
  6. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Migogoro miongo ya karibuni, ulikuwepo zamani kujua kulikuwa hamna migogoro...??? Kuchapwa risasi sio tatizo la wanawake, ni wanaume kuwa aggressive in nature. Kati ya wanawake na wanaume Unadhani nani yuko more likely kuua? Simple logic?! mara wanawake wanaleta drama baada ya kuolewa...
  7. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    No research no right to speak! Facts bila evidence?!embu taja'?! Wanawake wa kibongo wako hivi vile, wangapi per population mpaka useme ni tatizo??? Wa wapi hawana matatizo?! Umejuaje? Kisha udhalilishaji unaonekana ndugu usijifunike kwenye kivuli cha kufundisha..ingekuwa mtu mwingine...
  8. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Moderator futeni nyuzi za huyu mtu. Wanawake (including wa kibongo/JF) wanadeserve respect. Kila siku huyu mtu aliyestruggle kupata affection kutoka kwa mzazi wa kike anapost ujinga wa kidhalilisha Wanawake wa kibongo na nyie mko kimya. Kazi yenu ni nini kama sio ku 'moderate' hili jukwaa...
  9. A

    Tunataka helaaaaaaaaaa 😆 🤣

    @De gunner unaona wanawake wa mambelezi unaowataka?? Ulizidi kusema wanawake wa kibongo!
  10. A

    Tunataka helaaaaaaaaaa 😆 🤣

    Acha kujipendekeza kuku maji wewe!
  11. A

    Tunataka helaaaaaaaaaa 😆 🤣

    Hatuna proof hajasema, huelewi nini, kenge wewe
  12. A

    Tunataka helaaaaaaaaaa 😆 🤣

    Una proof hajasema?! Mpumbavu wewe!
  13. A

    Tunataka helaaaaaaaaaa 😆 🤣

    Wewe ndio ukwende hujaitwa humu! Acha kutuletea nzi!
Back
Top Bottom