Recent content by Aniko jr

  1. Aniko jr

    Mtu akigombana na kumchokoa mkeo, amegombana na kukuchokoa wewe. Tibeli Code

    Hakika hivi ndivyo tunavyoishi sisi Watibeli,ujumbe mujarabu sana kuishi nao.
  2. Aniko jr

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Tunamuombea kwa Mungu amlaze mahali pema,ila ninashauri ikitokea member amefariki basi waliokaribu naye watuwekee hata picha maana humu wengi hatujuani kwa sura.
  3. Aniko jr

    Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Mkuu naona kabla hatujakupa majibu ya maswali yako tumeshuhudia post yako imejaa sana mkwara! Umekuwa ukitutisha na kuchagua watu unaotaka wakujibu.
  4. Aniko jr

    Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Mkuu mbona unatutisha mapema ?matusi ruksa harafu unachimba mkwara tena!
  5. Aniko jr

    Nimewaza hili🤔

    Endelea kuwa na moyo wa imani mkuu tuniani tunapita tu.
  6. Aniko jr

    Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Hayo mabanda ndiyo Club yenyewe au?picha ya kwanza nikahisi labda hayo mabanda kama ya kufugia kuku yapo jirani na hiyo club!
  7. Aniko jr

    Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Mkuu hili swali ni la ovyo sana umelileta hapa ukimzungumzia Nchimbi ni mwanadiplomasia mbobevu unamfananishaje na huyo mtu mwingine?
  8. Aniko jr

    LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    Mfumo huu ni mzuri sana ila kwa Tanzania hautofaa askari pia hawatoukubali maana haeatokuwa wanapata pesa za michezo mtaani.
Back
Top Bottom