1. Vijana tuweni na heshima kwa watu waliotuzid umri. Unafanya yote haya kwa ajioi ya nn? Pia hata hamtumii kinga. Kweli?
2. Fikiria unamrekodi mtu mzima kama Bibi mzaa baba yako kisha unarusha mitandaoni. Heshima ipo wapi? Adabu ipo wapi?
Zanzibar ndo balaa zaidi. Ukiwa unapenda hizo mambo utawala mpaka useme basi. Baadhi wanataka nauli ya boti tu 35,000x2 kuja kutoa huduma bara. Baadhi ni wazuri (rangi adimu ya ntume)
Sasa maudhui sisi tunayapata live mtaani [Malaya wanajiuza 24/7. Na serikali za mtaa zipo. Kondomu asubuhi zinaokotwa debe zima. Hapo sijui uweke Parental control iipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.