Kweli mlevi ni mlevi tu.kulikuwa na daktari 1 ambaye aliwakusanya walevi wa chang'aa na gongo,akawaweka kwenye room 1 na kuanza kuwaeleza madhara ya hizo pombe,kuwathibitishia kuwa pombe ina madhara makubwa kwa afya zao alichukua glass mbili kubwa.glas ya kwanza aliweka maji na ile ya pili...