Kabisa yani bora madhara ya bangi sio hizi pombe 😅😅😅 unakuta mtu kanyonyoka nywele kama ana kideri alafu nguvu ni kutafuta buku Jero tuu akalewe hapo kama taifa nguvu kazi tunaipoteza na kuiua wenyewe kwa makusudi..
Kule China kipindi cha mapinduzi ya viwanda karne ya 18 nchi za ulaya zilitumia...
Alafu kwanini watumie viwango vinavyotumika jumuia ya Africa Mashariki na sio Duniani??.. wanamoango gani wanapoweka mipaka ya viwango Kuishia Afrika Mashariki pekeyake??
Hivi kuna uwezekano wa ku export double kick kwenda USA au SA?..😅😅😅 ni ISO gani walitumia kuruhusu? Watusaidie hapo.
Vinywaji vinavuoharibu taswira ya soko kimataifa ni jamii ya visungura, double kick.. wakina kiwingu n.k na hapa kwetu vinaharibu sana vijana.. so Rwanda wakosahihi kuzuia, huku inaonekana kunanamna TBS & TFDA wanahingwa sana na hizi kampuni mpaka inafikia hatua wanavuka mipaka kuwatetea!😅😅😅
Lengo la serikali ni zuri lakini kuna jambo la kuzingatia hapa, kupitia PPP's mwekezaji anaweza kumuajiri raia wa kigeni akafanya kazi aliyotakiwa kufanya mtanzania pasipo kuwa na umuhimu wa mtanzania huyo kubadilishiwa skills husika, changamoto nyingine uwepo wa economic intelligence pale raia...
Napost nikiwe ujerumani sahii.. 😅😅😅 guys huwa sipost sana humu, kipindi cha COVID niliwahi post kitu, kesho yake nikakuta kunamtu alijaribu ku login to my email nikafanya back tracking nikakuta anatokea pale Dodoma ikipo library ya Dodoma named viwandani.. so tusijipe asilimia 100% kwamba we...
Wakuu elimu Zanzibar bado ni ndogo sana.. acha waongezewe motisha ya siku nimeenda duration mzee nimenunua vitu vya 6k chenxhi ya kunipa katumia calculator.. sitanii wakeup, angalia hata NECTA Zanzibar wazazi wengi swala la elimu Dunia wanalipuuza sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.