Recent content by amepro12

  1. A

    Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

    Ahsante. Vipi alitoa sababu ya kwanini single na sio twin
  2. A

    PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Mtu upo ndani ndani uko network inasumbuaa unaanza kuja na vihoja vya ajabu
  3. A

    Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

    Kwaiyo iyo itakuwa bei yake halisi
  4. A

    Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

    Habari wanaJF! Nieende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Nimemuita mfunga wiring anifanyie mahesabu ya vifaa na gharama zake, na imekuwa kama ilivyoambatanishwa apo chini kwenye attachment. Je izo gharama ni kweli? Jumla imekuja 215K Ahsante!
  5. A

    Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Ndo maana pia wizi wa sasa ivi hufanyiki physical kama zamani labda wa yule wa mwanza😅.. Sa ivi ni mwendo wa IT na kuamisha tuu njulu na kulala mbele
  6. A

    Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

    Hujui ata maana ya kutetea haki, amani na kulinda maadili kijana
  7. A

    Kujiajiri vs Ajira ya Kuajiriwa: Je, ni kweli ujasiriamali ndio suluhisho la umasikini au ni njia ya kujitesa kisaikolojia kwenye uchumi mgumu?"

    Ajira ndio kila kitu buana, tusidanganyane kwenye kujiajili, unakuta kati ya 100 waliojiajiri, 1 ndo katoboa waliobaki wote ni kusota mtaani. Cha muhimu wee ukipata ajira iliyonyooka ishilie vizuri ukikosa ajira pia usibweteke na kusema huna ajira.
  8. A

    Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Dem wako ivi punde ametoka kusoma post yako apa jf akabaki anacheka 😅😅
  9. A

    Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    😅😅 hadi umeamua ucheke boss, sema wanazinguaaa bhana, watu tupo active kupata info
  10. A

    Saa 6 mchana kinachoendelea mahakama kuu ya Dar es Salaam muda huu

    Ukisema nje mvua inaeendelea kunyesha unamaanisha nini Mr. Mayanza
Back
Top Bottom