Recent content by Amaniyote

  1. A

    Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

    Los Angeles = city of many angels
  2. A

    Kwanini baadhi ya watu huanza kukudharau unapopitia wakati mgumu maishani, na unapaswa kufanya nini ili kuvuka hali hiyo?

    Be courageous yaani kuwa na moyo mkuu, jitulize, soma vitabu, mfano The subtle art of not giving a fck
  3. A

    Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

    Kama kweli umedhamiria kumuoa shida iko wapi?
  4. A

    Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

    Kwa sasa Mungu akusaidie utulie kwanza, usifanye maamuzi yeyote, jipe hata siku kumi za kutulia, japo sio rahisi ila Mungu akuwezeshe
  5. A

    Mke anahitajika

    Karibu inbox
  6. A

    Mke anahitajika

    Hahaha
  7. A

    Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

    Swali, je? Hizo wanazitaka ni kwa ajili ya kuwafidia mashabiki au ni kwa ajili ya club? Hata hivyo sioni wakitoboa kwenye hili labda points
  8. A

    Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Haiingii akilini hata kidogo, kuna something fishy kama ni kweli taarifa yako, hio pesa ni nyingi mno, kwa michango ipi?
  9. A

    Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    Atawezana na mzee was Choppa?
Back
Top Bottom