Recent content by Alvajumaa

  1. Alvajumaa

    Nyota wa zamani wa Chelsea na Manchester United Juan Mata García, ametangaza kustaafu soka la kulipwa

    What a player, nakumbuka goli alilofunga dhidi ya Liverpool kwa bicycle kick
  2. Alvajumaa

    Pentagone,Ndombolo,Titanic na RDC.Wenge waliishiwa ubunifu,nyimbo zinafanana sana.

    Noma sana Mzee hizo nyimbo, zikipigwa mtu unatikisika
  3. Alvajumaa

    Mafanikio ya vijana wa Dar yanachekesha sana

    Tunashukuru hata kwa hicho kidogo na Dar hatuhami
  4. Alvajumaa

    Watanzania Wengi Wana Chuki, Wivu na Husda

    Hali ipo hivyo hata mtaani Mkuu, watu wana hila, watu wana roho ya inda, watu wana roho ya kwanini, watu wana roho ya ikidi, watu wamejawa na husuda… Ndiyo maana kufanikiwa kwetu inakua ngumu sana, sijui hii roho watz tuliitoa wapi
  5. Alvajumaa

    Nimepata viwanja Mvuti, jirani na Chanika. Vinafaa kwa uwekezaji wa rasilimali ardhi?

    Hongera Mkuu, maana wengine tulichungulia tukakosa, chukua Ardhi hiyo
Back
Top Bottom