Recent content by allpurpose2010

  1. A

    Maji shingoni mitandao - simu toka kwa kikwete

    Slaaaaaaaaaaaaaaaaa ju tuuuuuuuuuuuuu hata TV na Radio zote zihubiri kiwkete
  2. A

    Maji shingoni mitandao - simu toka kwa kikwete

    Wana JF leo hii asubuhi saa mbili na nusu hivi, nimepokea simu toka kwenye mtandao wangu wa zain, ikasema "helo subiri mhe kikwete anataka kuongea na wewe kisha nikamsikia kikwete akijieleza na kuomba kura" Je hii yawezekana mitandao imeingia kwenye kampeni? anu JK kaamuru apigiwe debe? hii ni...
  3. A

    Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi

    Wewe mwafrika, toka mwaka 2006 uko kwenye JF, hujajifunza tu kuwa hoja zote lazima ziwe na facts za kutosha? kwanza ha hisi wewe ndio ulituma SMS hiyo ya kipuuzi kisha unatafuta mchawi. WEWE NDIE MCHAWI MKUBWA NA WENZAKO WASIOFIKIRIA VIZURI KABLA YA KUDANDIA ISSUE MBALIMBALI. kwanza...
  4. A

    Sio synovate wala redet - mitandao inatosha

    kwa muda wa week mbili sasa magazeti yamegubikwa na utata wa report za synovate and redet juu ya nani yuko juu katika uchaguzi 2010. Ukweli ni kwamba wengine hatukujua wala kupata nafasi ya kushiriki kwani ninaimani hii kitu ilifanyika kimya kimya - bora mara mia nimeshiriki kwenye FJ, japo...
  5. A

    SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

    Chadema imeanza kusambaza ujumbe wa sms kwa kutumia namba feki ya TIGO. ujumbe ulikuja kama ifuatavyo: +255719780033: 'TAFATI SIO MATOKEO WATANZANIA PIGENI KURA KWA DR SLAA TAREHE 31 OCT TUWAONYESHE TAFATI YA UKWELI RAIS MPYA TAIFA JIPYA CHADEMA MWENDO MDUNDO USIDANGANYIKE' Hivi nyie vyama...
  6. A

    Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaomchafua Dr. Slaa

    Ukweli ni kwamba TCRA wanauwezo wa kuchambua kitecknologia na kutujulisha hii issue ilivyo. mimi nilipata hizo sms mara mbili. 1. +3588108226 2. +3588976578 nilijaribu usiku huo huo kuzipiga bila mafanikio, nikaomba mtandao wangu wa zain wanisaidie kunielewesha, lakini hawajanijibu. laniki...
  7. A

    GE2010 CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS

    Duuh inaonekana wakati mwingine hatuelewi. boss mimi pia nilizipata hizo sms, kweli inaonesha ndugu zetu wanahaha, lakini pia ngoja nikueleweshe kidogo. Hivi Rais wetu wa sasa niwa chama gani? na je Nyerere aliyehusika kwenye kuikomboa nchi yetu na kushiriki kikamilifu kwenye harakati za...
  8. A

    GE2010 Vyama kuchangisha kwa ajili ya uchaguzi 2010

    Hii ni mara yangu ya kwanza kuwepo tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Sina hakika lakini nadhani mwaka huu vyama vingi vimejitokeza kutaka kupata michango kwa njia mbalimbali ikiwemo new technology ya mobile phones - yaani SMS. lakini nashindwa kuelewa, hivi vyama hivi vinajua hasa jinsi ya...
Back
Top Bottom