Wewe naye kubali tu kuwa mmeo kafa. Maombolezo kila siku siyo mazuri. Huyo jiwe wako kafa na kubali hilo. Alikuwa laana kwq Taifa ndiyo maana wananchi wengi walifurahi kufa kwake. Hao uliowataja ni mfano mdogo tu kwa sababu wanajulikana. Kuna waliochinja mpaka ng'ombe kama umesahau. Aliyepo...
Unataka kuua watu wewe. Unakumbuka kwenye kesi ya Lissu walijenga kibanda kwa ajili ya mashahidi wa siri. Unakumbuka kilivyokuwa? Na hapo ni mahamakani. Eti hao ndiyo wajenge SGR 😂😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.