Recent content by Alex24hrs

  1. Alex24hrs

    Zamani tulikuwa tukiongea na wapenzi wetu kwenye simu masaa 2 mpaka 6 bila kuchoka. Sasa hivi SMS 1, 2 ya tatu inahusu pesa

    Unahisi sababu hasa Nini wamekuwa hivyo wakati ule wazazi walikuwa wanajibika kwa watoto wakike kuliko Sasa Nini kimewapelekea kuwa ombaomba
  2. Alex24hrs

    Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    Pamoja na yote lakini tukunbuke hatuna mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yeyote yule mwenye mamlaka ya kutoa uhai ni alitupa pumzi tuu
  3. Alex24hrs

    Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    A Atakutesa sana ukiibgia naye kwenye ndoa
  4. Alex24hrs

    Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Ameheshimu kiapo chake
  5. Alex24hrs

    Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Nadhani nature ya Taifa letu kwa sasa unafahamu lipoje
  6. Alex24hrs

    Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Sio lazima aseme hadharani fatilia speech zake kabla ya kujihudhuru utaelewa dhana ya uwajibikaji na kuwajibika
  7. Alex24hrs

    Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Ni moja ya sifa ya kiongozi ukiona mambo hayaendi ni kuachia ngazi tuu
  8. Alex24hrs

    Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Umeoa mwenyewe kwa ridhaa Yako au ulilazimishwa
Back
Top Bottom