Recent content by Alen K

  1. Alen K

    Mnyika: Rais Magufuli amekwama

    Kilo ya sukari sh. 3800, unga sh. 2400 biashara zimekufa, ajira hakuna, halafu mnaleta ujinga wa kusifia tu!
  2. Alen K

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    Kwani hao wanaofurahi ndio wauaji? Police +siasa =ccm!
  3. Alen K

    Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi?

    Angalia flat za magomeni zitagarimu sh.30. Bilion!
  4. Alen K

    Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Ally kiba ana roho mbaya, anajisikia mmmnoo....!!!
  5. Alen K

    Mkapa: Uongozi bora ni kuwa msikilizaji, mvumilivu na kupenda kusoma mambo ya ndani na nje ya nchi.

    Hawa nao wanatuyeyusha tu sasa wameshindwa kumyoosha huyu tulienaye? Kwenye magongamono kama watu vile lakini kwenye vikao vyao vya ccm lao moja!
  6. Alen K

    Tundu Lissu: CCM na uwongo wao wa gesi kupunguza bei ya umeme CAG kawaanika na kawashauri

    Deni la taifa kufika 82 trillion 2020! Kama speed hii ya kukopa itaendelea!
  7. Alen K

    Sokoine bado hajazingatiwa ipasavyo na viongozi wa sasa

    Sokoine alikuwa ni kiongozi shupavu na hakuna wa kumlinganisha naye, nakumbuka kabla ya kupanda gari kwenda dodoma na wakati anarudi ndipo alipo Pata ajali yenye utata, alimwambia rashidi kawawa rudisha pesa za wananchi au nenda radio Tanzania ukawaambie watanzania hizo pesa umepeleka wapi? Na...
  8. Alen K

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Hongera TISS kwa kulinda maslahi ya ccm.
  9. Alen K

    Serikali yamwaga vitanda vya wagonjwa nchi nzima

    Miaka 55 ya uhuru tunashangilia vitanda?
  10. Alen K

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Roma hana Wimbo huo! Huyu dingi kujichanganya tu!
  11. Alen K

    Utata: Uvamizi wa clouds FM

    Hakuna utata naona wewe ni kilaza wa kuelewa au unataka kupotosha tu!
  12. Alen K

    Naamini sasa Magaidi hutengenezwa na Serikali kote duniani kwa utawala usio haki na kandamizi

    Kwa kipindi hiki kuna wanaenufaika na hali ilivyo wengine twaumia, sisi ndio wakutafuta pori.
  13. Alen K

    SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    Kawaida ya viongozi wetu hasa Africa wakisifiwa!
  14. Alen K

    Yajue Maajabu ya Kunywa glass ya Maji ya Uvuguvugu Asubuhi.

    Mimi na miaka 2 na hii kitu kweli ni nzuri sana!
Back
Top Bottom