Recent content by Al-mukheef

  1. Al-mukheef

    Hakuna mahali popote Quran imeagiza wazazi au walezi kuchapa au kupiga watoto, Biblia ndio imeagiza hivyo, msilazimishe wote tuchape watoto

    Na nilichogundua lengo lake ni kuja kuukejeli Uislamu ila ametumia njia ya kujifanya kuwaponda wakristo
  2. Al-mukheef

    Hakuna mahali popote Quran imeagiza wazazi au walezi kuchapa au kupiga watoto, Biblia ndio imeagiza hivyo, msilazimishe wote tuchape watoto

    Mbona swali lako lipo nje ya mada? Nilidhania utaniuliza kuhusu Biblia, au lengo la kuanzisha mada ilikuwa ni kuwalenga waislamu?
  3. Al-mukheef

    Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

    Utawafahamu vipi na wao hawajihusishi na binadamu?
  4. Al-mukheef

    Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

    Dimension za nini
  5. Al-mukheef

    Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

    Wewe sio muislamu waachie wenyewe wajibu na ndio ustaarabu Nakumbuka kuna siku ulinitag kuniomba tuachane na kejeli dhidi ya dini za wenzetu lakini kumbe wewe ndio kiongozi
  6. Al-mukheef

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Hata wewe unaweza ukaitumia popote hata kwenye wizi sawa tu na maneno mengine
  7. Al-mukheef

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Watu hutamka sana na wala sioni hizo reactions labda ulipo wewe
  8. Al-mukheef

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Sio kweli huu ndio upuuzi sasa yaani unaongea chochote ilimradi tu
  9. Al-mukheef

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Unanichanganya mkuu mbona unaandika waanzilishi halafu kwenye mabano unaandika waliowaletea wakati mimi najua ni vitu viwili tofauti
Back
Top Bottom