Recent content by akidas

  1. A

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbweni Teta

    Inauzwa nyumba iliyopo Mbweni, yenye thamani ya TSh milioni 320. Nyumba hiyo ina vyumba vinne vya kulala, vitatu vikiwa na bafu ndani (master bedrooms), jiko, sebule na eneo la chakula (dining). Nyumba ina sakafu ya vigae (floor tiles), eneo la nje lililowekwa lami (pavement), servant quarter...
  2. A

    Je, fizi zako zinavuja Damu kila unapopiga mswaki? 🦷

    Jino lilitoboka na kuzibwa nikisokonyoa na ulimi inatoka damu Nini dawa yake
Back
Top Bottom