Nimesoma! Nimetishika! Nimebabaika kuona haya! Y
Zaidi nimeogopa sana kusikia eti Benki ya Posta imesimamisha sehemu ya watu wa management sio kwa tuhuma hizo la!Ila kwa kudhaniwa ndio waliotoa hizo habari wakati ni siri za kibenki. Hapo ndio nchi hii ilipofika!
Uchunguzi unaanza, SI WA...
Kwa ufuatiliaji na msimamo Tulwai ni kichuguu na Ngoyai ni Mlima;miaka kumi ya "bora kiongozi" ni alama ya aibu si ushujaa. Shida ni hii ya uharamia na vamiavamia ya Ngoyai. Sijasoma ripoti ya Mwakyembe kwa kina hivyo nasita kusema wazi endapo kuna mahali inapomtaja moja kwa moja Ngoyai...
Naunga mkono: Kama iko issue iwekwe wazi hapa. Sasa tunaanza kuwa trivial and petty, pale tunapofuata mambo ya blog zingine ambazo hutumika kama chombo cha mtu binafsi kufikisha chuki ama raha binafsi.
Balozi huyu anajali umoja wetu kuliko "mfalme" Yaa-kubu anaegombania kuua: Je Balozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.