Recent content by akashube

  1. akashube

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Kama umeshindwa kutofautisha bad lip reading ya Obama(FAKE) na video ya Lwakatare (kitu halisi), basi hata wakikusingizia kuwa umezaa sokwe utakuwa tayari kwenda kupima DNA.
  2. akashube

    Unafiki wa CHADEMA na wabunge wao kuhusu POAC

    unapotoa namba kwa halaiki ambayo umeichochea tayari una lengo gani? ukumbuke ile ni 'mahakama' ambayo mshtaki alijieleza kwa 'hakimu', 'hakimu' ambaye hayuko tayari kumsikiliza anayeshtakiwa, bali ameandaliwa kuwa na chuki na yuko tayari kutoa hukumu kwa maelekezo ya mshtaki. Hii iko wazi kuwa...
  3. akashube

    Unafiki wa CHADEMA na wabunge wao kuhusu POAC

    Kwa jinsi nchi hii ilivyo tajiri, tunahitaji viongozi wavumilivu, ambao jambo zito linapowakuta hawalipuki ovyo na kwenda kuwachochea wananchi kufanya vurugu pamoja na kuwatusi viongozi wao. Leo hii Libya, Tunisia na Misri wanaoitwa wanamageuzi walioko madarakani wanavuna walichopanda. Maana...
  4. akashube

    Sasa nahama CCM

    People's Power siyo nguvu ya umma kama CHADEMA wanavyodanganya wananchi. CHADEMA wanaamini katika kutoa kafara wananchi wasio na hatia katika mikutano yao na kuisingizia serikali. Mbinu wanayotumia ni ya hali ya juu mno. Lengo lao ni kutafuta 'public sympathy', na mimi ni mmoja wa wasomi...
  5. akashube

    Sasa nahama CCM

    Haya wale waongo naoitwa CHADEMA mpoooo? Kwa wale msiojua maana ya PEEEOPLEEE POWER! Mnashangilia tu. Maana yake ni kuwa wanapotoa kafara ya mtu kwenye mikutano yao wao inawapa nguvu. mashetani sana hawa CHADEMA. Pole ninyi mnaoshangilia CHADEMA kama vipofu.
  6. akashube

    Sasa nahama CCM

    Ni kwa sababu ya kuridhika na Team iliyochaguliwa kuongoza CCM 2012 - 2017. Na hasa Philip Mangula. CCM OYEEEEEE!!!!!!!
  7. akashube

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    Sophia Simba kaeleza wazi "wajumbe...wajumbe huyu muuliza swali kaja juzi juzi hapa tukampa ubunge wa Africa mashariki...hajui kitu huyu, ndiyo maana anauliza hili swali, kwa sababu hajui huku chini kinamama tumefanya mambo mengi, mambo makubwa...." Pengine Shyrose amesahau kazi ya umoja wa...
  8. akashube

    Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

    Ni kweli wakristo hawawezi kufanya hivyo na tumeambiwa waislamu pia hawawezi kufanya hivyo, lakini hawa ni wakristo wahuni wakijibu mashambulizi ya waislamu wahuni kama ilivyokuwa Biblia ni Jibu walipowajibu Mujahidina. We subiri kidogo tu, saa saba siyo mbali wala saa kumi siyo mbali, kama...
  9. akashube

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    Kilichoandikwa hapo juu kina ukweli fulani lakini si ukweli wote. Kwa hiyo hili ni kasa mnalishwa na Edson halafu nashangaa kuona MM hajalipinga. Mimi nimesoma darasa moja na MM hapa Tanzania. Na alikuwa mwanamapinduzi wa dhati nilipokuwa naye. Hakusoma BA pale UDSM, bali alisoma kozi nyingine(...
  10. akashube

    Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

    Wakati wa utawala wa Mwalimu Ali Hassan Mwinyi paliibuka mihadhara ya waislamu wenye siasa kali kukashifu ukristo na wakristo wengi hasa wakatoliki waliyumbishwa sana. Serikali haikuonyesha kushtushwa na mihadhara hiyo. Kina Kilaini walipofadhili kundi la Biblia ni Jibu ambalo lilikuwa na watu...
  11. akashube

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Chuki za kidini zinatokana na upumbavu. Watu wanauana kwa mambo ya kusimuliwa. Hizi dini mbili za ukristo na uislamu zimewafanya watu wengine wamekuwa mazuzu kabisa. Kwanza Tanzania hakuna ukristo wala uislamu, kuna unafiki tu. Yaani unaishi maisha ya kiibilisi halafu unadhani ukikasirika...
  12. akashube

    HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

    Tutaona mengi ya wanaotafuta ulaji 2015. Watu kama MM wanapenda kuandika kwa staili inayoficha misimamo yao na kujifanya kuwa 'great thinkers' wameelewa, ila wasiyo na 'great thinking capabilities' hawajaelewa. Hakuna 'rocket science' hapa, hii iko wazi, umri umesogea na matumaini yenu yako...
Back
Top Bottom