Recent content by Aizat

  1. Aizat

    Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Siku hizi umekuwa kasenge baridi🚮🚮🚮
  2. Aizat

    Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Coca Fanya jambo kwenye pm yangu basi
  3. Aizat

    Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Asa nikijipiga vidole we inakuuma nini? Linda mgongo wako hali ni mbayaaaa!
  4. Aizat

    Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Hahahaha🤣🤣🤣 Eti mambo ya kujifanya unajiheshimu, nimecheka kingesee🤣
  5. Aizat

    Carry Mastory Avujisha Sauti ya Hamisa Mobetto Kuhusu Baba Mzazi wa Mtoto Wake (Dylan)

    29 Oct ulijifinyanga uvunguni mwa kitanda, sasa hivi umeibuka na wezi wa taifa!
  6. Aizat

    Carry Mastory Avujisha Sauti ya Hamisa Mobetto Kuhusu Baba Mzazi wa Mtoto Wake (Dylan)

    Kiranga unapigaga umbea kijanja😁😁😁... Kama hivi sasa, huku unajifanya kutushangaa wambea
  7. Aizat

    Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Sema nawashukuru kwa hili...wamenifanya niwe na roho ngumu sana!
  8. Aizat

    Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Yeah ofcourse tuko poa! Wananilelea na katoto kangu (wako vizuri sana kiuchumi)... Mi siko Africa nimewakimbia kabisa!
  9. Aizat

    Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Hawa dawa yao ni madongo tu kwenye simu...wakiletaga shobo za kunimiss naingizia na story za manyanyaso yao kipindi hicho, wanakaa kimyaaa!
Back
Top Bottom