Jiko la gas na jiko la umeme lina namba za kudumu katika timu ya mapishi ila JIKO LA MKAA NA KUNI NDIO SUPER SUB BORA YA MUDA WOTE KWENYE MAPISHI hutegemei TANESCO wala EWULA
Kama wabungu, madiwani na wenyeviti walivyoshinda kwa kishindo cha 98% ndivyo MANGUNGU atatakavyoshinda SIMBA uwenyekiti (ITAPIGWA KATA FUNUA MOJA TU MO na watu wake watajikuta wamempigia tiki MANGUNGU NA HAWATOAMINI)
Tunajua el nino sio lazima iwe mvua muda mwingine inawezakua jua kali na ukame wa kutisha (TMA walisema itakuja el nino ya mvua tena kwa vitisho watu wenye maeneo rafiki wakaandaa mashamba,mbegu za muda mrefu,shule zikatangazwa kufungwa kwa zarula wanafunzi wakafanya mitihani kwa haraka,watu...
Ukiwa mkulima na unategemea muongozo wa TMA utaingia cha kike kudadeki na hawa jamaa ni waongo kitambo hawana tofati na wazee wale wa milila au mashehe wanaojifanyaga wanaomba MVUA kipindi mvua ilipaswa kunyesha
Majambaz yapo mengi tu ila yamebadili mbinu sikuizi hayatumii bunduki,mitalimbo wala jiwe la fatuma sikuiz nayo yanatumia force number 9 kushambulia (yanatumia mifuko ya uwekezaji,utapeli mtandaoni,ufisadi,rushwa)
Dubwasa lenyewe linaitwa land na kumbuka magar yote ya land,jeep,hummer yametengenezwa kuendana na kazi ya hayo majina na sio sports car kwanza hua yanapimwa kwenye jangwa,makorongo,matope,mito na sio kupimwa mbio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.