Wewe ni mnafiki kama ni kweli ,
1.Kwanini huku msaidia rafiki mtu unayes sema rafiki Yako
2. Vyumba Mimi ni wanawake 3*10=30 huo muda na uwezo w wanawake 30 kwa usiku mmoja alikuwa anawapa tsh ngapi na hio gesti? .
3. Anawarekodi vipi wanawake wote 3
4.huyo mtu alikuwa hana shughuli,kazi yake...
Ukiwa na karasha fungua sehemu ya kusagia na kuosha (Mwalo) unapaswa kuwa na Karasha, mercury, mizani, magunia, maturubai ( roughly uwe na kama 10mil kibisha unaweza kuanza na 3mil nyingine iwe pembeni na total ni 13mil).
Hii kuwekeza kwenye crasher ipoje tujifunze
Mtoa maada ni ameongea kimhemko tu,
Yaani mtu anatumia bilioni moja au mbili kuingia bungeni alafu useme ubunge haulipi?inawezekana kwa mishahara usilipe sana ila Kuna namna
Maana ubunge salary zote na kiinua mgongo hazizidi bilioni 1.5 kwa miaka 5 yote
Sahihi,unakuta package watoto wanalipiwa ada na mampuni labda maximum $10,000 so anasoma tu huko,
Pia unakuta hizo kazi mkataba ni miaka 2-4 baada ya hapo unafanyiwa appraisal au una renew base on performance,
Mimi waliofanya kuhamia serikalini na wanaolipwa vzr waliniambi ni security ...
Kumbe hakuna nyongeza ,yaani interest?
Sheria inataka , "A single payout consisting of your accumulated contributions plus accrued interest"
Kwa mtu aliechangia miezi chini ya 60
Tupeni ushuhuda mliochukua mzigo wote
idea nzuri ,mimi pia nafikiria niweke hata mil 10-15 kwenye biashara ya spea ,lakini nataka nifanye jumla mkuu,pa kuanzia ndio nafikiria ,niwe winga wa spea kariakoo huku nia mtaji(siwezi afford fremu kariakoo) au nifungue gori mtaani alafu niwe natuma mkoani .pia nafikiria ikiwezekana ni deal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.