Recent content by afkombo

  1. afkombo

    ANDROID FACTORY IMAGE INSTALLATION.

    Wakuu kuna mtaalam hapa Tz hasa Mbeya ambaye anaweza ku-flash android kwa kutumia Factory Image File??
  2. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Nashukuru Kaka. Nimeamua kuchukua Spectre 13 Pro.
  3. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Nashukuru bro, Nimeshavuta Spectre 13 Pro. Its very nice machine.
  4. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Nashukuru sana Kaka. Processor ya Spectre ndiyo ilonivutia plus hiyo SSD. Ina muonekano mzuri sana na ni nyepesi lkn tatizo sijajua uimara wake. Pia sina uzoefu sana na HP hasa katika suala la Overheating.
  5. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Nashukuru Chie Nashukuru Sana Cheif. ThinkPad L440. 4th Gen Intel i3 4100U. 4GB RAM,500GB HDD,14Inch IPS Display. Spectre: 6th Gen Intel i7 6500. 256GB SSD. 8GB RAM
  6. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Kazi za kawaida Tu. Sana Sana ni issue za kusoma Tu. Co m2 game. ThinkPad L440 Ni dolls 750 plus VAT kwa Wakala WA Lenovo Dar. Na Spectre Nimeiona Mbeya wanauza 1.8M. Kwa hiyo bei zinafanana.
  7. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Wakubwa naomba msaada juu ya Experience hapa. Nachanganyikiwa kwenye kufanya maamuzi which one to buy Kati ya HP Spectre na Lenovo ThinkPad L440. Nafaham durability ya Thinkpad. Lkn cna experience ya HP especially kwa slim machine km hii Spectre. Mwenye experience anisaidie tafadhali.
  8. afkombo

    Wapi nitapata Thinkpad L440??

    Good bro. Will check You soon
  9. afkombo

    Wapi nitapata Thinkpad L440??

    Habari Wadau. Kwa wenye ufaham naomba mnisaidie hivi Ni duka gani hapa Tanzania naweza pata Lenovo ThinkPad L440??
  10. afkombo

    Mbwana Samatta Man of the Match achemka kutema Ung'eng'e

    Acha utumwa ndugu Mtanzania. Kujua ung'eng'e c kigezo cha kuwa real proffesional. Kaulize Brazil km wote wanaonunuliwa Ulaya km wanajua English.
  11. afkombo

    Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kunyongwa pale China, sasa kesho zamu ya Mchina!

    Kwani walitulazimisha kwenda kununua Bidhaa zao?? C njaa zetu wenyewe za Kiafrika na viongozi wetu Feki ndo wanaosababisha bidhaa kuingia nchini
  12. afkombo

    Hivi ukitaka kufanya mapenzi na mke/mpenzi wako unamwambiaje?

    Mwanaume anauliza hivi kweli?? Mi naamini hakuna Universal way ya kusema au kufanya,different guys have different moves.
  13. afkombo

    Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Habari za mida wana JF. Babu yangu ana tatizo sugu la kutokwa mafuta mwilini, sasa imefikia mpaka inambidi abadilishe nguo mara mbili au tatu kwa siku. Amejaribu dawa za hospital na miti shamba lakini haikusaidia. Sasa nauliza wana JF je hili tatizo kwanza kitaalam linaitwaje? Na je kuna...
  14. afkombo

    Nokia C3 vs Blackbery Curve

    Hujaweka wazi ni Blackberry Curve ipi unayozungumzia. Ushauri,km ni mpenzi wa sms na kupiga tu na ubora wa na uimara wa Hardwear ni bora ununue hiyo Nokia C3,Kama ni mpenzi wa Internet ya kiganjani basi nenda kwa Blackberry.Lkn ungetaja specifically ni BB Curve ipi ingekuwa rahisi kukushauri...
Back
Top Bottom