Recent content by Adama H

  1. A

    Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    Kwanini wasabato sio wachoyo kama wana sherehe kanisani ata mpita njia tu wanamkaribisha
  2. A

    Wakuu nishaurini 'side hustle' ya kufanya kwa Dodoma

    Agiza Bidhaa kutoka karikoo na uuze huko vitu kama Viatu,nguo, electronic Dodoma ni gharama sana na vina mzunguko mkubwa sana nasema kutoka kwenye uzoefu wangu
  3. A

    Kwanini sadaka Misikitini inaonekana ndogo kuliko makanisa?

    Makanisa yapo Kwa ajili ya Biashara na makanisani watu hawatoi Kwa ajili ya mungu wanatoa Kwa ajili ya kuonekana tu na kufraisha watu
  4. A

    Je, matangazo ya waganga wa kienyeji yanapaswa kupigwa marufuku?

    Waganga wanatambulika kisheria kwahiyo hakuna haja ya kuyafungia Matangazo yao
  5. A

    Kajala: Siyo kwamba hakuna wanaume wanaonipenda, ila nikiwa na Harmonize nakuwa na amani

    Sema kajala pamoja na u aunt wake ni mzuri bwana uwongo dhambi nyama anayo yakutosha kimo anacho afu sura ni ya kitoto kabisa ila ili li aunt ni zuri bwana
  6. A

    Aliyekuwa mke wa MC Pilipili, aibua gumzo Mtandaoni baada ya kuonekana na Ujauzito

    Sawa ila kwangu Hana uzuri wowote ule zaidi zaidi Mungu kamjalia nyama
  7. A

    Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

    Uwongo Zambia shape unayo afu ata uzuri pia inaonekane ni mzuri Bila shaka wewe ni pisi ya chuga
  8. A

    Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

    Shape IPO mama kivuli hakidanganyi
  9. A

    Sababu kubwa tatu za kwanini watu hawanunui Bidhaa/ Huduma Yako

    Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam Rafiki Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au Huduma Yako Na Hizi sababu haijalishi una uza nguo,Viatu,magari,viwanja nyumba nk Zinaingia kote kote Twende pamoja Sababu ya...
  10. A

    Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  11. A

    Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  12. A

    Jinsi ya kuwafanya wateja wako wajione wanatumia bidhaa au huduma yako kabla hawajanunua

    Unawaonaga wamasai wanavyouza ngombe minadani mara nyingi wanavyokushawishi kwa kukwambia maneno ambayo yatakufanya ujione tayari unamiliki ngombe wengi mfano mara nyingi utasikia wanasema ukinunua huyu ngombe lazima zizi lako lijae atakazulia watoto wengi Hadi utaongeza zizi jingine...
Back
Top Bottom