To me mpe mtoto the best elimu unaweza ku-afford. Narudia tena the best you can afford. Dunia ya sasa bila elimu nzuri ambayo ndani yake ina connection na exposure utakuwa na safari ndefu mno. Hata kama utamuwekea assets bila elimu exposure nk anaweza akatapanya mali zote.
Kwa elimu za sasa za...
Kinachonishashangazaga ni kitu kinoma watu wako ktk zebra kuvuka barabara ila boda yeye anapiga honi wampishe sasa najiuliza honi anaiona ila breki haioni
Huyi refa amewafanyia ujinga mwingi sana Simba katika mechi nyingi tu. Leo akaendeleza upuuzi wake kuna muda Diarra anapoteza muda live kabisa Simba wanalalamika wazi kabisa hakutoa kadi ila akipopoteza muda Kassali fasta sana kachomoka kadi kampa. Mwishoni kabisa ni wazi alikuwa anaitafutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.