Recent content by acleyfrancis

  1. acleyfrancis

    Bank ipi ni nzuri kwa kukopa hela kwa watumishi?

    Uko mbele ya mda sana 😃
  2. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Matatizo gani unamaanisha kaka
  3. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Nipe hawa watu wa kuongea nao kaka
  4. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Hili soko limeshikwa na tabaka flani, wenye nazo kwasababu gharama pia za ujenzi ziko juu, nafikiri mapinduzi unayoyaongelea ni kuwepo na watu wengi wanaojenga kama biashara, ila je watawezaje na ujenzi ulivo ghali?
  5. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Of which hizi za Magomeni bajeti around kiasi gani itakuwa competitive
  6. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Hivyo wewe Tayar unamjua mtu uwe mkono wangu.?😀
  7. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Haina noma kamanda, itabidi nikatise shiringi
  8. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Wacha nijipange niende, ila sina mkono mrefu😀,
  9. acleyfrancis

    Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Yeye pia alitunua mkono wa Mtu ?, au kwamba bajeti yake ndio ilishawishi?
Back
Top Bottom