Recent content by achiwalila

  1. A

    Mkombozi tricircle for sale

    Nauza Pikipiki ya Gurudumu Tatu Kwa Tano ( Mkombozi). Tsh. 1,500,000/= Ipo Gongolamboto. Piga 0755827080 kwa mnunuzi wa kweli tu.
  2. A

    Mwenye canter tonn 2 tukauze maji Chanika - Masaki

    Poa kaka nitamtafuta.
  3. A

    Mwenye canter tonn 2 tukauze maji Chanika - Masaki

    Wana JF, Natafuta Mshirika mwenye Gari Canter Tani 2, tushirikiane. Mmini nina kisima cha maji safi huko Chanika DSM. Kuna Mahitaji makubwa ya maji kwa shughuli zote huko Masaki karibu na Chanika. Nina Tank za kuhifadhi na kusafirishia Maji.Nimekosa gari. Mwenye gari aliye na haja na...
  4. A

    Toyota cami

    Imeshauzwa, Ahsanteni wana jamii.:A S wink:
  5. A

    Toyota cami

    Kwa desturi, maongezi yanafanywa usokwauso mbele ya chombo. Hakuna lisilowezekana chini ya jua mkuu, ukiiona utatamani kuniongezea baada ya kukupunguzia. kwa sasa nipo Posta club. Kesho Gongolamboto. njoo tuzungumze.
  6. A

    Toyota cami

    Powa usijali nilikuwa sijaiandaa, Ni T 288BAX, ni ya mwaka 2000, na iliingia DSM JULY 2009. IPO katika hali mzuri saana.
  7. A

    Toyota cami

    Picha hiyo mkuu
  8. A

    Toyota cami

    Nauza Toyota Cami Haraka. Sh. 4.5 M. Contact 0755827080 nipo DSM.
  9. A

    Kubadilishana toyota cami kwa suzuki carry au hijet

    Nipo Dar es salaam, Namba yangu ni 0755827080. Karibu
  10. A

    Kubadilishana toyota cami kwa suzuki carry au hijet

    Wadau natafuta ki-pick up aina ya Suzuki Cary au Hijet kwa kubadilishana na Toyota Cami saloon.Nina Toyota cami model GF-J102E, ipo katika hali mzuri.https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/flypig.gif
  11. A

    Ipe maneno picha hii:

    We Dereva, SHUSHA HUYU ABIRIA wa katikati Harafu nyinyi wanaume ondokeni na pikipiki Renu HARAKA sana. na MSIANGARIE nyuma. TOOKA!
  12. A

    Jela Mwaka Mmoja Kwa Kumpiga Chabo Mkewe Akioga

    kwa huyo mdada hapakuwa na ndoa ila ni maigizo tu.
  13. A

    Laughter series: Wonderful retirement calculator..!

    Hahahaaaaa it is good. Thank you.
  14. A

    Guys don't complicate your lives, live simple as this!

    No development, Hapo ni kulogana tu.
  15. A

    Searching for network

    Kwa mgao wa umeme wetu huu, Haya yanafanyika kwingi na hapana wasiwasi - tanesco na mgao wa umeme kwa masaa 12/ 24 ....
Back
Top Bottom