Recent content by Abuu Kauthar

  1. Abuu Kauthar

    Huyu Kilaza kutwa kuiponda Yanga , tulishamdharau hana deal kwa sasa

    Huyo anasubiriwa juani na Jerry Muro ili wakabishanie huko
  2. Abuu Kauthar

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao

    Hata hiyo simu unayotumia, nguo, kuongea, kula vizuri vyote vimeletwa, sio ajabu shetani pia kuletwa.
  3. Abuu Kauthar

    Baada ya Yanga kumtimua kocha wao mabishano yameibuka mtandaoni kati ya Wasouth Africa na Mashabiki wa Yanga

    Wacha ushabiki maandazi, Kocha wa Yanga alionesha ubovu kabla hata mechi ya dabi, Mechi ile na Gaborone alimanusura tutoe tena sare nyumbani, ikaja mechi na Geita tulipelekewa moto haijawahi tokea, yeye kila mechi baada ya kushinda ile ya Dabi ya August basi performance ya timu ilikuwa inashuka...
  4. Abuu Kauthar

    Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Kwani nimeandika mimi ama nimenukuu hilo bango? Nenda kakosoe lile bango ndio limeandika "mama wa mungu"
  5. Abuu Kauthar

    Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    U-sheikh una tabia zake, huwezi kuwa muhuni tu kisa unavaa kanzu basi na wewe shehe wakati matendo yako sio ya kishehe
  6. Abuu Kauthar

    Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Ina maana mimi sijui kusoma ama sijui maana?
  7. Abuu Kauthar

    Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Yule sio shehe Bikira Maria mama wa Mungu, Mungu yupi huyo ambaye ana mama?
  8. Abuu Kauthar

    Nauza simu ya ofisini(IP Phone) mpya kabisa

    Mipasho ya nini ndugu mfanyabiashara? Unapomuelimisha mtu ni vizuri kuliko kuanza maneno ya kuwananga watu
  9. Abuu Kauthar

    Anayejua ukweli wa madai ya Solo Thang kwa Afande Sele, atuambie

    Hivi mtu na pesa sijui mtu pesa ile ilikuwa album yake ya ngapi ya afande sele? Nadhani kuna mayowe og mle acha ile remix alikuja kutoa baadae
  10. Abuu Kauthar

    Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Ndugu nami ninayo mitiki inayozidi kiasi cha miti 2,000 ambayo imefika diameter ya 60-100 ipo zaidi ya miti 400 hivyo nahitaj kuvuna ili nitatue changamoto zangu, ina miaka 10+ ipo Mkuranga Pwani. Karibu
  11. Abuu Kauthar

    Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

    Mimi ninayo zaidi ya miti 2000 iliyo tayari kuvunwa kwa size ya 60-100 ipo zaidi ya 400 anayehitaji anicheki iko Mkuranga mkoa wa pwani ina miaka 10 sasa
  12. Abuu Kauthar

    GPA ya 3.0 anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikalini?

    Njoo nikupe vyeti vyangu buree GPA ya 4.0 Safi ukapambane navyo
Back
Top Bottom