Kuwa alumni hakufanyi kuwa sahihi, na pia sio wote wenye visima maeneno ya kuzunguka udom wana maji yenye chumvi sana uchimbaji wa maji unafanyiwa Research kwanza kama watu binafsi wanaweza, taasisi kubwa inashindwa vipi, kuna watu wana visima iyumbu maji yana chumvi kidogo kuna ntyuka, achana...
Ukiwaona wakianza kusifia juhudi za mchongo hawana hata aibu usoni🚮🚮
Hiyo ni discussion nyingine mm naongelea taasisi kubwa ambayo ingeweza kujitegemea yenyewe kama watu wangekua serious hizo shida za maji zinaimbwq Tanzania nzima na ni miaka 65 toka uhuru
UDOM: CHUO KIKUU KINASHINDWAJE KUTATUA TATIZO LA MAJI WAKATI MAENEO YANAYOKIZUNGUKA YANA VISIMA?
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kukabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na ya uhakika. Kinachoshangaza ni kwamba tatizo hili limekuwepo kwa miaka kadhaa bila kuonekana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.